Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Umeambiwa hiyo ni ya membership, mbali na kinywaji. Basi katoe $500 pale La Chaaz just kwa kuwa member tu, tuone kama haitakuuma
 
Asilimia 90 ya watanzania Ni wachawi in nature ... Mtu anashangaa mtu kulipa milion 1 membership fee kwa mwaka ila hashangai kuna gym unalipa laki 4 kwa mwezi Yani kwa mwaka ni milion 4.8.


Kuna Gym aliyotekwa Mo Dewji (Collesium Gym ) Kuna fee mpaka ya milion 1 kwa mwezi Yani kwa mwaka mtu analipa milion 12 ila watu hawashangai.


Kuna watu ni wachawi sana hi nchi utashangaa mtu anakwambia na wewe hizo Gym ni member ? Hahahaha
 
Ila kiingilio cha M 1 kikubwa sana kwa aina ya watanzania walio wengi
 
Pole yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…