Kwani tatizo liko wapi wewe nae ulichanga hizo hela?Washkaji wanakula bata watakavyo, wakipata kesi masikini ndio wakuwachangia, refer ile milioni 300 walichangiwa na nani!!, na bado kuna mijitu inawaamini hawa wanachama eti ndio watetezi wetu, very sad mkuu! 😀
Ni kwa kuwa imetokea club,ingekua mtaani wangesema kasukumwa na wasiojulikana,huku wakimwambia mwambie baba yako aache kuisumbua serikali.Eti Mbowe ni msumbufu kwa serikali😁😁😁Sababu ya kuanguka ni nini au n baada ya kulewa. Weka maneno kamili
Shangazi mtu kasema sisi ni nani hata tupinge?Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Kwani tatizo liko wapi wewe nae ulichanga hizo hela?
Sasa unajitambua lakini una wahurumia usiowajua waliowachangia..pesa..😀😀😀Najitambua ndio maana sijakurupuka mzee, wenzio wanakula bata wewe unashindia mihogo kwa mapanki. Akili hizo!!
Pesa tumechanga kwa mapenzi yetu. Hukushukiwa bunduki uchange peleka umbeya lumumba huko.Tatizo wakipata matatizo wanatuchangisha pesa, rejea kilichotokea segerea kwemye ile.kesi yao
Najitambua ndio maana sijakurupuka mzee, wenzio wanakula bata wewe unashindia mihogo kwa mapanki. Akili hizo!!
Pesa tumechanga kwa mapenzi yetu. Hukushukiwa bunduki uchange peleka umbeya lumumba huko.
Sasa unajitambua lakini una wahurumia usiowajua waliowachangia..pesa..[emoji3][emoji3][emoji3]
Dogo mbona huonekani kw sana siku hizi jamviniSeems familia ina tatizo la ulevi
BALOZI WETU WA CHINA KACHIMBIWA BITII NAKUPIGWA MKWARA MKALI KAMWE ASIKANYAGE TENA TANZANIA.Kuchukua mke wa mtu na kuzaa nae kabisa ni dhulma mbaya sana
Pole Dudley,Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Wala sivyo. Israel anamtafutia shavu mama samia makamu wa rais kabla ya uchaguzi octoberAwe makini sana jamaa, Malaika Israel anamzungukia sana mwaka huu
Aliye pata shida hiyo wala sio Dudley ila mdogo wake wa mwisho, wa Tz tusiombeane mabaya ila tuombeane kwa kila mtz anepitia mtihani mgumu wa maisha yake, it is typical accident which can meet any of us, tujaribu sana kuwa na lugha za staha kama watanzaniaPole kijana Dudley.
Pole Freeman kwa mitihani unayopitia.......Mungu akupe wepesi!
Hiyo siyo habari ni umbea.Hapo imekuuma hii habari kuletwa humu!