Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ina maana huna dollar 500 hadi leo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ina maana huna dollar 500 hadi leo?
Kweli kabisaHizo dola 500 kwa mwaka zimewashangaza sana wadau humu japo kwa mwaka si nyingi kihiivyo kama una chanzo kizuri cha mapato.
Nadhani hili neno 'dola' limechangia hata baadhi ya watu kuhusisha na ruzuku anyway ndio jamii zetu zilivyoaminishwa.
Kwa hiyo watzee weng wanalipa kodi 40,000 kwa mwezi?[emoji848][emoji848][emoji848]Get well soon Dudley
Kila kitu ambacho hatuna uwezo nacho ningekua kuwa anasa.... kwa watanzania tuliowengi hiyo 500 usd ni kodi ya nyumba ya miaka2. Tufanye kazi jamani
Hata mm nimeshangaa...nafikiri neno DOLLAR ndo inatuzuzua...mtu akishaona dollar tu bas anajua ni mapesa mengi haangaiki hata kuconvert into tsh aone itakua pesa ngapiKatika kitu kimenishangaza kwenye huu uzi ni jinsi ambavyo $500 annual fee imekuzwa. Seriously $500 kwa mwaka ni issue?!! $500 kwa mwaka ni Sawa na $1.4 kwa siku hela ya bia mbili! Sasa humu mbona kuna watu wengi tu wanakunywa zaidi ya bia mbili kila siku?! Halafu kuna watu kila siku wanakomenti eti JF kila mtu tajiri!
ANAWEZA kuwa member na asiguse boti hata siku moja,na member wote pale hawamiliki boat wanakodi.wanaomiliki 10 hawafikiKuwa member wa Dar Yatch Club sio jambo la kawaida kwa maisha ya mtanzania. Ada hiyo ya Usd 500, bado hujanunua boti na recreational boat bei ipo juu pale hakuna boti za mbao na outboard injini za 6Hp. Boti inataka usajili, matunzo na wengi pale wanatumia vyombo hivyo kuanzia ijumaa mpaka jumapili.
Kama uswahili kikundi cha kusaidiana ada ikiwa elfu 10 watu watakao toa ni wachache.
Hizo ni sehemu za wenye vipato vikubwa.
Yatch clubHapo Dar Yatch Club ukishangaa kiingilio kuna watu wanamiliki boat ndogo za bei mbaya.
Kuna watu wanafanya matusi kuna boti ya mtoto wa Bakhresa kaweka Sound System ya Usd 10,000.
Kuna member mule wana boti za bei chafu.
1%Hiyo pombe aliyoshika ina alcohol ngapi?
Kwa kupatia tu hujambo 🙌😄😁😆😅😂🤣Tena wanapiga konyagi na gin
Inamaana mbowe hapati mshahara? Hivi unajua pesa anayoingiza mbunge kwa mwezi, unajua kiinua mgongo mbunge akitimiza miaka mitano bungeni?Hela ya ruzuku hiyo...
Mwache kijana ale nchi,urais ukipatikana atakula zaidi ,ruksaNaye anakosea..kipindi Hiki kigumu Sana....anaharibu taswira ya dingi
Kuna rafiki yangu anauzaga art pieces kazi yake ilikuwa nikuingia sehem zenye subscription fee ili kuongeza network na connection ameuza pieces zake nyingi kisa hii na gain zake ni over 200+profits per item na akagundua sehemu kama izo ndo kuna high custumers na inakuwa rahisi ku interact nao kuliko sehemu nyingine yeyote....ili upate nilazima utoeSawa nimekupata!..mngetuambia na sisi mfano was hizo profit wanazogain..tuuze mashamba tuje
Ndio hivyoKwa hiyo watzee weng wanalipa kodi 40,000 kwa mwezi?[emoji848][emoji848][emoji848]
Yalichangishwa ili mtoto akatanue yatch
Hahaaa halafu jamaa kawateka watu wengi mnoo hawajalielewa lengo lake dahh!!!