hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Nia na madhumuni ni kuchafuana kisiasaVipi mbona taarifaa inaelezea zaidi kuhusu gharama za membership ya yatch club?
Nia na madhumuni ni kuchafuana kisiasaVipi mbona taarifaa inaelezea zaidi kuhusu gharama za membership ya yatch club?
Ndio hivyo ..Dogo anagonga ruzuku za mafala
Yaani na ndio mtoa mada kashindilia hapo hapo chadema wanakazi sana mwaka huuHawajiongezi,,yaani anaenda kujirusha mda huu bila hata kufikiri anaweza kuharibu image ya mgombea urais,,sasa mnyonge akiona eti analipa milioni na ushee kwenda kupiga pushapu,,si ataona huyu si mwenzetu?
Acha kabisa mkuu - hapo ni nje ya cost zote zinazo patikana hapo ya yatch clubAchana na hii habari, hiyo Yatch club ina member zaidi ya 1000 na kila member kwa mwaka analipa 1M. Sasa piga 1M mara 1000 unapata 1B, watu waliwekeza bana daaah!!!
Aisee?Kumbe ndiyo uchawi unavyopatikana?Yaani nikisema tu hii bei ni kubwa kwa walio wengi tayari naishia kuwa mchawi?Hujalazimishwa ndio maana kuna mwingine akiumwa atakwenda mwananyamala hosp atatibiwa kwa sh elfu 10,ugonjwa ule ule mwingine atakwenda Agha khan atatibiwa kwa milioni jikune unapofikia ukiishi maisha hayo ya kutiza mwafulani aishije utaishia kuwa mchawi
Sawa sawa tajiri yanguMwache kijana ale nchi,urais ukipatikana atakula zaidi ,ruksa
mfano wa kiongozi bora huanzia ktk familia yake mwenyewe, ukishindwa kuiongoza familia yako vizuri kamwe usitarajie kuongoza watu wengine halafu ukategemea wakuelewe au wakuamini. kila mmoja wetu ajitahidi kuwa kiongozi bora wa familia yake.
Wananchi kutoka Namtumbo au nanjilinji ndani ndani watayajuaje haya mkuu.Muongo mkubwa Wewe yatch club ukilipa hiyo USD mia tano, unaingia unatumia hiyo hela kwa njia ya kusaini,mfano unaweza ukaenda ukaagiza chips kuku harafu wakakatia humo, unaweza hata ukamwambia rafiki yako aende kwa kutumia namba ya kadi yako,akifika anatumia kisha anajaza,yaani ni sawa na Wewe uende dukani kwa mango umpe milioni tatu umwambie mangi kwenye hiyo pesa kata kila kitu nitakachokuwa na chukua dukani kwako mpaka iishe, pia hata rafiki zangu wakija nao wape au ndugu zangu,kisha kata humo, watu na pesa zao sie huku hoiiii njaaa dah
Huu ukoo utamalizwa na Faru John wakome kwenda msituniDudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.
Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.
Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.
Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.
Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.
Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
bila kale hata wewe usingekuwa hivyo ulivyoNasikitika kusema hizo ni zama za kale.
Unataka kusema kila anaeingia pale yatch ana boti ???Kuwa member wa Dar Yatch Club sio jambo la kawaida kwa maisha ya mtanzania. Ada hiyo ya Usd 500, bado hujanunua boti na recreational boat bei ipo juu pale hakuna boti za mbao na outboard injini za 6Hp. Boti inataka usajili, matunzo na wengi pale wanatumia vyombo hivyo kuanzia ijumaa mpaka jumapili.
Kama uswahili kikundi cha kusaidiana ada ikiwa elfu 10 watu watakao toa ni wachache.
Hizo ni sehemu za wenye vipato vikubwa.
No siyo,pale hata Wewe ka una rafiki yako na ni member pale anaweza kukupa namba yake ya uanachama ukaenda ukanywa na kula kwa kutumia kadi hiyoUnataka kusema kila anaeingia pale yatch ana boti ???
Sasa pale yatch kipi Cha ajabu jamani , Kuna michezo ya watoto, kula, swimming pool na michezo mingine kadhaa.
Sijui kwanini hii imekuwa topic . Huwa nikitaka kuona watu wanavyoishi huwa naenda fukwe za mbezi au maeneo ya masaki/osyerbay.
Ukicheki comments nyingi za humu Ni roho zetu za kimasikini za Tandale, Buza , Tandika , Manzese
Mkuu huwa nawaona mnavyopita na vyombo vyenu kwa ukaribu maeneo ya Slip way.Yatch club
5 july
Yatch club watu wanakula bata la bei mbaya View attachment 1498743View attachment 1498744View attachment 1498745View attachment 1498746
Ukilewa unahitaji chanzo hukuwahi kuona mlevi akianguka mwenyewe.Chanzo
Anayejua hilo jina linatamkwaje/linaandikwaje kwa kiswahili anisaidie.
Kama na wewe ni member naomba hiyo ofa walau nikanywe tuNo siyo,pale hata Wewe ka una rafiki yako na ni member pale anaweza kukupa namba yake ya uanachama ukaenda ukanywa na kula kwa kutumia kadi hiyo
Viwanja vya hivyo vya kulipia dola500 ndiyo vinakuwa madanguro watu wanasex uchi kwenye makochi na kutumia madawa ya kulevya waziwazi na mashoga kibao ndaniHivyo ndio viwanja sasa ngoja niongeze bidii ya kutafuta hela.