Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Muongo mkubwa Wewe yatch club ukilipa hiyo USD mia tano, unaingia unatumia hiyo hela kwa njia ya kusaini,mfano unaweza ukaenda ukaagiza chips kuku harafu wakakatia humo, unaweza hata ukamwambia rafiki yako aende kwa kutumia namba ya kadi yako,akifika anatumia kisha anajaza,yaani ni sawa na Wewe uende dukani kwa mango umpe milioni tatu umwambie mangi kwenye hiyo pesa kata kila kitu nitakachokuwa na chukua dukani kwako mpaka iishe, pia hata rafiki zangu wakija nao wape au ndugu zangu,kisha kata humo, watu na pesa zao sie huku hoiiii njaaa dah
Acha kutudanganya Wewe...
 
[SUP]
Screenshot_20200706-105229_Drive.jpg
[/SUP][SUB]nashangaa watu mnashangaa hiyo $500 . Hii ni ya pale Maison na watu wanatumbua kwa usiku mmoja [/SUB]
 
Acha ushamba wa juu kwa juu wewe hata hivyo vidole vyote havilingani.... na acha mtu aishi maisha atakayo..................... Unadhani baba yake amezaliwa na kukulia kwenye umaskini na meko mpk anatamani kila mtu apitie maisha aliyopitia?

Nikufahamishe tuu kwamba sio kila anaeingia pale ana boti hili ulifahamu na sio lazima uingie na kulitumia pole karibu mjini kuna wa masaki na wa buguruni wa mnyamani na pia kuna wa manzese na wa Mikocheni life is real tofauti from one to another
Aliye elewa hili povu anitag
 
[emoji38][emoji38][emoji38]! Yaan ntakula na kunywa had aibu[emoji2960]! Yaan October lazima nitafute namna!
Asante kwa ofa aisee! Kuishi na watu vizuri huleta matokeo Chanya![emoji2960]
Balimi zipo?? Nataka mix balimi na mavinywaji mapya mapya[emoji38][emoji38]! Nipate stim konky
Angalia vizuri Bei niliyokuwekea [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Acha ushamba wa juu kwa juu wewe hata hivyo vidole vyote havilingani.... na acha mtu aishi maisha atakayo..................... Unadhani baba yake amezaliwa na kukulia kwenye umaskini na meko mpk anatamani kila mtu apitie maisha aliyopitia?

Nikufahamishe tuu kwamba sio kila anaeingia pale ana boti hili ulifahamu na sio lazima uingie na kulitumia pole karibu mjini kuna wa masaki na wa buguruni wa mnyamani na pia kuna wa manzese na wa Mikocheni life is real tofauti from one to another
Mimi mwenyewe nimemshangaa Huyo jamaa eti kila aneingia pale yatch eti ana boti.
 
wakati mfuasi mtiifu wa CHADEMA Ethrocytes anakula miguu ya kuku huko Tandika Kilimahewa, hata iyo Yatch haijui kabisa
Acha umbea wewe kwa hiyo unataka kusema ccm kuna sehemu wamekosea kwa nini ale miguu ya kuku hutu tukiwa kwenye uchumi wa kati hembu nielimishe nipate kujua
 
Mla Bata hivi wewe sio member hapa kweli Yatch club? Nitumie kanafasi ulikonako kuosha nyota
Bdw Uzi uloniqoute unazosema Magu amezuia Sana wizi mods wa ccm amenizuia nisiweze kureply 😆😆! Bullshit!.so nalike tu
 
Mla Bata hivi wewe sio member hapa kweli Yatch club? Nitumie kanafasi ulikonako kuosha nyota
😅Bata hilo sijalipa kipaumbele tu, 500 USD per yr sio jambo la kuumiza kichwa (in Kiduku Lilo voice) inabidi tufanye utaratibu wa kujoin mkuu.


Bdw Uzi uloniqoute unazosema Magu amezuia Sana wizi mods wa ccm amenizuia nisiweze kureply 😆😆! Bullshit!.so nalike tu

Aisee 🤔, imekuwaje wamekutia kufuli mkuu, umewagusa kunako??? 😂
 
Back
Top Bottom