Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Kuna rafiki yangu anauzaga art pieces kazi yake ilikuwa nikuingia sehem zenye subscription fee ili kuongeza network na connection ameuza pieces zake nyingi kisa hii na gain zake ni over 200+profits per item na akagundua sehemu kama izo ndo kuna high custumers na inakuwa rahisi ku interact nao kuliko sehemu nyingine yeyote....ili upate nilazima utoe
Mkuu nimekuelewa vizuri sana, sasa nimejua hata namna ya kunufaika zaidi ukiwa member.

Dawa ni kuitafuta pesa na kujiunga.
 
Hii issue inapelekwa kimhemko sana..et kisa USD500¡¡..Kwa mwaka. Mwaka una wastan wa wiki 52 hapo ni kama 19,250 hivi roughly....


Kwenye bata zetu tu hapo toroka uje tabata, villa na la liga mwanza, tips na kidimbwi kwa wiki n sawa tu.


Hapo ni kama unapata kadi ya bima alafu kuna dawa / magonjwa mengine hawatibiwi na hiyo bima,hivyo yakupasa ulipie tofauti.

Ni issue ndogo sana.

Pole kwa kijana.
 
Hi familia ya Mbowe kwa kuanguaka wakitwika pombe haijambo hivi hawezi kunywa bila kuanguka?

Loo kweli pombe sio chai mtu

ICU pigeni marufuku hiyo familia kukanyaga ICU baba katoka Happ juzi kea tatizo Hilo Hilo Leo mtoto looo.Wekeni kibao kabisa
 
Pale Gymkhana Simba Sport Club walikuwa wanalipia milion 1 kwa siku ili kufanya mazoezi. Kabla ya MO Dewji kuichukua Simba walikuwa wanafanyia mazoezi pale sinza kwenye uwanja wa Kinesi na viwanja vingine Kama Boko Veterans n.k


Sasa Chukua hiyo milion moja izidishe kwa mwezi. Tena hiyo milion moja Ni hela ndogo kwa masaa kadhaa.
 
Viwanja vya hivyo vya kulipia dola500 ndiyo vinakuwa madanguro watu wanasex uchi kwenye makochi na kutumia madawa ya kulevya waziwazi na mashoga kibao ndani
Siyo kweli Yatch club kuna ustaarabu wa hali ya juu sana...ni eneo unaloweza kuwaacha watoto siku nzima na wakawa salama!
Hakuna sehemu ya danguro.

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Wangari njoo uchukue namba yangu ila ule chakula kisizidi tsh 900
😆😆😆! Yaan ntakula na kunywa had aibu🤭! Yaan October lazima nitafute namna!
Asante kwa ofa aisee! Kuishi na watu vizuri huleta matokeo Chanya!🤭
Balimi zipo?? Nataka mix balimi na mavinywaji mapya mapya😆😆! Nipate stim konky
 
Viwanja vya hivyo vya kulipia dola500 ndiyo vinakuwa madanguro watu wanasex uchi kwenye makochi na kutumia madawa ya kulevya waziwazi na mashoga kibao ndani
Muhimu ni kuona vingi kwa kadri ya uwezo wangu..
 
Siyo kweli Yatch club kuna ustaarabu wa hali ya juu sana...ni eneo unaloweza kuwaacha watoto siku nzima na wakawa salama!
Hakuna sehemu ya danguro.

Everyday is Saturday......................... 😎


Ndugu yangu huyo mtanzania aina ya Bashite wa Kolomije unatarajia akuambie nini? Mimi binafsi ni Member wa Gymkhana Club hapa Arusha nalipa mil2 kwa mwaka sinywi pombe nafurahia kufanya mazoezi pale. Jinga kama hili ni ngumu kulisikiliza.
 
Mhh siasa bhana mtu mgonjwa baada ya kutoa taarifa ya ugonjwa mnazungumzia gharama ya yatch club kweli? hiyo milion wahuni wanapiga kiberiti siku moja waliokua nazo tusiwachukie tupambane ili nasi tufanikiwe kutaja gharama za matumizi zao haisaidii kitu wakati kuna wengine 10 M waliita ya mboga na mwingie mabillion ya uswisi aliita vijisent tuu....
 
Kwakweli
Wengine Wahaha Huko Mulyabhibhi Daraja La Kikwete Kigoma Hata Hiyo Club Hawaijui
Wengine Vyeti Tele Wanahaha
Acha Tuone!!!!😏😐😶🤨😑
It's the law of nature. Binadamu hatuwezi kulingana viwango vya maisha.
 
Kuwa member wa Dar Yatch Club sio jambo la kawaida kwa maisha ya mtanzania. Ada hiyo ya Usd 500, bado hujanunua boti na recreational boat bei ipo juu pale hakuna boti za mbao na outboard injini za 6Hp. Boti inataka usajili, matunzo na wengi pale wanatumia vyombo hivyo kuanzia ijumaa mpaka jumapili.

Kama uswahili kikundi cha kusaidiana ada ikiwa elfu 10 watu watakao toa ni wachache.
Hizo ni sehemu za wenye vipato vikubwa.


Acha ushamba wa juu kwa juu wewe hata hivyo vidole vyote havilingani.... na acha mtu aishi maisha atakayo..................... Unadhani baba yake amezaliwa na kukulia kwenye umaskini na meko mpk anatamani kila mtu apitie maisha aliyopitia?

Nikufahamishe tuu kwamba sio kila anaeingia pale ana boti hili ulifahamu na sio lazima uingie na kulitumia pole karibu mjini kuna wa masaki na wa buguruni wa mnyamani na pia kuna wa manzese na wa Mikocheni life is real tofauti from one to another
 
Back
Top Bottom