Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Motivesheno Sipika huyoWewe umepata Hilo vumbi la copper mkuu????
Motivesheno Sipika huyoWewe umepata Hilo vumbi la copper mkuu????
Kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu.Ila Kuna miamba inakula Bata jamani! Raha ya kuzaliwa kwenye utajiri hakyanani....Mungu akunusuru upone!
wakati mfuasi mtiifu wa CHADEMA Ethrocytes anakula miguu ya kuku huko Tandika Kilimahewa, hata iyo Yatch haijui kabisa
Wewe umepata Hilo vumbi la copper mkuu????
Nilipate wapi? Yani wewe usione tetesi ushakuja mbio
Motivesheno Sipika huyo
Motivesheno Sipika huyo
Asante Madame, Mimi ushamba wangu hapo yatch club ni vyombo vya anasa kama Jeep Panther, Yamaha Offshore 425 XTO, Volvo Penta Marine na Jet Ski. Ambazo naziona huko mitandaoni.Acha ushamba wa juu kwa juu wewe hata hivyo vidole vyote havilingani.... na acha mtu aishi maisha atakayo..................... Unadhani baba yake amezaliwa na kukulia kwenye umaskini na meko mpk anatamani kila mtu apitie maisha aliyopitia?
Nikufahamishe tuu kwamba sio kila anaeingia pale ana boti hili ulifahamu na sio lazima uingie na kulitumia pole karibu mjini kuna wa masaki na wa buguruni wa mnyamani na pia kuna wa manzese na wa Mikocheni life is real tofauti from one to another
😅Bata hilo sijalipa kipaumbele tu, 500 USD per yr sio jambo la kuumiza kichwa (in Kiduku Lilo voice) inabidi tufanye utaratibu wa kujoin mkuu.
Aisee 🤔, imekuwaje wamekutia kufuli mkuu, umewagusa kunako??? 😂
Mkuu sijasema kila member wa pale ana boti, Mimi nimeongelea gharama kwa upande wa wenye boti hata kama ni ndogo ila kuifanya iendelee kuwa nzima pesa inavyomtoka mmiliki na yeye anatumia kwa starehe tu.Mimi mwenyewe nimemshangaa Huyo jamaa eti kila aneingia pale yatch eti ana boti.
Pale hata ukiomba kazi ya kusafisha vyoo hupati,hata kuingia mle ndani huruhusiwi halafu pale watu wanakunywa na kula bila ya kutoa pesa taslimu,pesa inakatwa moja kwa moja kutokana na pesa uliyotanguliza kwanza,ukimuona mswahili anakunywa na kula pale basi jua si wao pato la kati bali ni wa kiwango cha pato la juu.Yatch club mwenzangu na Mimi kuingia pale ni Kama kuisaka visa ya kwenda kwa Trump.Nakuombea upone upesi mtoto wa mwenyekiti
Pamoja Sana mkuu , Hakuna shida tuko pamoja.Mkuu sijasema kila member wa pale ana boti, Mimi nimeongelea gharama kwa upande wa wenye boti hata kama ni ndogo ila kuifanya iendelee kuwa nzima pesa inavyomtoka mmiliki na yeye anatumia kwa starehe tu.
Unataka wote tuende kanisani au msikitini halafu nyie watumishi mtawaombea wakina nani, Usiniambie hujui contribution ya tax katika Maeneo ya starehe haswa kwa wapiga vyomboHapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Amelewa hiyo Cocacola aliyoishika mkononi!Sababu ya kuanguka ni nini au n baada ya kulewa. Weka maneno kamili
Hii familia ya kuombea sana, zaburi 23: "nijapopita katika bonde la uvuli wa Mauti hutaniacha"Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.
Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.
Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.
Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.
Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.
Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
Dogo anagonga ruzuku za mafala
😂😂 aiseee!Hahhaa ni wehu tu [SUB] Kama wehu wengine!..jitahidi ujoin nami ntatupia kilaki kimoko...!asalaale[/SUB]
Karibu mkuuMkuu huwa nawaona mnavyopita na vyombo vyenu kwa ukaribu maeneo ya Slip way.
Siku moja nitakuja shindana mbio za boti na hao wenye vyombo, project boat yangu ikikamilika.