Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mbowe kweli tishio.
Hata ale embe dodo lazima iwe news.
Huyu nanihii alilazwa juzi juzi sikuona hata Uzi mmoja. Why Mbowe?
 
.
FB_IMG_1594036798931.jpg
 
Kumbe sawa kabisa baba Dj na fan ya ulevi . Tuangalie hii ishu ya kulisishana sio hata kule Zanzibar tuwe makini pia. Haya maswala yananitia shaka. Hii ni aibu kwa CDN
 
Tuwe makini na zile ela tunazokatwa wabunge . Isije ikawa ndo zinafanya kufuru ya ulevi ulio kithiri
 
Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Hakika ulevi tumeumbiwa wanadamu . Mwache mwana alewe kama Baba.

Muhimu kupeana Mbinu ya kuepuka dhambi ya urithi tu. Mana inatukula wanadamu sana.
 
Pale hata ukiomba kazi ya kusafisha vyoo hupati,hata kuingia mle ndani huruhusiwi halafu pale watu wanakunywa na kula bila ya kutoa pesa taslimu,pesa inakatwa moja kwa moja kutokana na pesa uliyotanguliza kwanza,ukimuona mswahili anakunywa na kula pale basi jua si wao pato la kati bali ni wa kiwango cha pato la juu.
Naimani ipo siku ntaingia hapo hata kwa mwaliko maalumu
 
Baada ya kufurahia watu wanavyotumia pesa wewe unataka watu wawe maskini utadhani wataishi Duniani milele mzunguko wa pesa utakuaje kama hutaki matumizi yawepo....
 
Back
Top Bottom