UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 1,166
- 3,870
Umeanza Majungu lini boss?Sawa sawa tajiri yangu
Umeanza Majungu lini boss?Sawa sawa tajiri yangu
Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.
Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.
Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.
Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.
Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.
Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
Kila mtu anauwezo wa kutumia ela yake wnavyotaka huwezi mpangia acha akili za kimaskini alafu nchi yako iko uchumi wa katiNyumbu wapo wakutosha. Hata matibabu watachangia
Unauhakika kwenye majimbo ya ccm hawapati shidaMwanachama milioni moja wakati kule hai kwa mbowe wananchi wanapata shida
Serekali yako ya kikristo inaruhusu konyagi na inachukua Kodi kwenye vilevi je unaona ni sawaHapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Na huyu akiteguka mkono aseme amiteguliwa na serekaliSerekali yako ya kikristo inaruhusu konyagi na inachukua Kodi kwenye vilevi je unaona ni sawa
😆😆!...nakukaribia🤸🤸Umeanza Majungu lini boss?
Hahaha mzuka tu huoNilijua tu walevi mpwa mnateteana hatari lazima umnyamazishe asiseme
Nawashangaaa,Soma vizuri watu dollar 500 ya membership wanaona big dili wakati ukipata vumbi la copper kiasi unaipata bila mbanga
Ila starehe za hko wabongo tunalazimisha tuSoma vizuri watu dollar 500 ya membership wanaona big dili wakati ukipata vumbi la copper kiasi unaipata bila mbanga
Sio Kila wine Ina kilevi nyingine hazina, alafuNa huyu akiteguka mkono aseme amiteguliwa na serekaliView attachment 1499992
[emoji23]Na huyu akiteguka mkono aseme amiteguliwa na serekaliView attachment 1499992
Sasa kwanini usimtaje aliyeanguka mkuu!?Nimeshangaa sana jf kuiacha hii habari wakati mtu aliyetajwa sio aliyeanguka kwann mods hawajafuatilia habari hii ili wapate ukweli wake?
Mnhh!!!Acha uongo Did you do your reach?au umekurupuka
Ni mdogo ake na huyo aliyetajwa hapo ila now anaendelea vizuriSasa kwanini usimtaje aliyeanguka mkuu!?
Ok.Ni mdogo ake na huyo aliyetajwa hapo ila now anaendelea vizuri
Inauhusiano gani!? Kwani chattle ka mtu yupo poa..Mwanachama milioni moja wakati kule hai kwa mbowe wananchi wanapata shida
Kila la kheri mkuuNaimani ipo siku ntaingia hapo hata kwa mwaliko maalumu