Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mwanachama milioni moja wakati kule hai kwa mbowe wananchi wanapata shida
 
Nimeshangaa sana jf kuiacha hii habari wakati mtu aliyetajwa sio aliyeanguka kwann mods hawajafuatilia habari hii ili wapate ukweli wake?
 
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Serekali yako ya kikristo inaruhusu konyagi na inachukua Kodi kwenye vilevi je unaona ni sawa
 
Kuanguka tu ndiyo alazwe ICU? Mbona sisi wakulima/wafugaji tunaanguka kila siku tukifukuzana na ng'ombe mbona tunadunda tu? Watoto wa wakubwa bana, nyanya tu! Acheni hayo ma faru Joni fanyeni mazoezi, mtakufa kweli! Shauri yenu!
 
Soma vizuri watu dollar 500 ya membership wanaona big dili wakati ukipata vumbi la copper kiasi unaipata bila mbanga
Ila starehe za hko wabongo tunalazimisha tu
Hata mbongo awe na hela akienda huko wala haienjoy sisi tushazoea amshaamsha
Tushazoea kutukanana na mabar maid huu ndy ukweli..... Mara mhudumu kaja kakukaliaaa
Yaani fujo tu.... Mambo ya kwenda fishing wapi na wapi na sisi

Ova
 
Nimeshangaa sana jf kuiacha hii habari wakati mtu aliyetajwa sio aliyeanguka kwann mods hawajafuatilia habari hii ili wapate ukweli wake?
Sasa kwanini usimtaje aliyeanguka mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…