Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Wewe umekariri kila mtu ni buku 7 humu!What is club , waswahili club haimanishi Kila club n uasi,club n neno tu kunaweza kuwa hata na maka friends club au Jesus club .mtoto wa mbowe alikuwa kwenye club inayojihusisha na Mambo ya ndani ya maji,safar Chanel fiken pale kutafuta namna ya kutangaza utalii wa ndani,watz tuache kujifanya tunajua Kila Jambo kwa siasa za buku 7
😆😆! Mie ningeiweka kwenye biashara aisee!Imetumika kwenye lengo la ovyo ni kubwa aisee.Ila hii ingetumika kwenye anga ninazopenda ingekuwa ndogo.Nadhani hata kwako ni hivyohivyo.
Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Kwani milioni moja kwa mwaka ni nini? Mbona kawaida sn hii ingekua kwa mwezi atleast tungeshangaaYaani unatoa Dola 500! Aisee! Tz hii hii..
Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Yote hayo mtayapata mkiwa na wajanja CDM au endeleeni kuendekeza umaskini ccm.Yaani Wengine Tunaona Maajabu
Million 1 Kwa Mwaka
Hakika Wengine Bado Tutangoja Sana
Yaani Kumekucha Ndiyo Tunalala
😶🤨😑😏
Ume Panic, relax bro.buku 7 naamanisha siasa za maji taka zozote zile zinazojaribu geuza uwongo kuwa kweliWewe umekariri kila mtu ni buku 7 humu!
Mola amponye
Ni muhimu pia binadamu.. tuwe tunachunga.. yale tunatamka.. katika kulinda wetu pia.. shetani upenyea hapo pia..
Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Mtoto wa nyoka ni nyoka.hapo watasingizia watuwasio julikana wakati mtoto nae ni mlevi kama baba yake.
Sababu ya kuanguka ni nini au n baada ya kulewa. Weka maneno kamili
konyagi imemuumiza baba mguu mtoto nae konyagi imemuumiza kichwa, mtoto wa nyoka Ni nyoka tu
Nitajie jina la kampun ya estate iliyopo huko njePole sana. Familia ya Mbowe ni millionaires wa miaka mingi. Wamewekeza mpaka nje ya nchi ziko biashara za estate n.k. hivyo bila kodi yako wataishi tu.
John Faru amefanya kazi yake kama alivyofanyakazi kwa Baba yake. Pole sana!!Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.
Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya.
Sababu za kulazwa kwa Dudley inaelezwa kuwa ni baada ya kuanguka na kukigonga kichwa chake vibaya wakati akiwa Yatch Club, iliyoko Leopard’s Cove, Msasani Bay jijini Dar es Salaam.
Club hiyo ni sehemu ya starehe ambayo inaruhusu wanachama tu kuingia na kustarehe. Gharama ya kuwa mwanachama ni dola 500 (zaidi ya Sh milioni 1) inayolipwa kila mwaka. Kiasi hiki hakihusishi gharama za vinywaji, vyakula, boti za kifahari na huduma nyingine za kiwango cha kimataifa.
Hili linakuja ikiwa ni siku chache tangu Freeman Mbowe adaiwe kuumizwa na kuvunjwa mguu akiwa jijini Dodoma ambapo baadaye alihamishiwa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar.
Chanzo: Mtoto wa Mbowe aanguka, alazwa ICU
CCM ndo walimwambia aende Club ?Huu ni mwendelezo wa ccm kuua upinzani kwa kuwa frustrate akina Mbowe na wengine wasishiriki kikamilifu katika kampeni. Mipango hii na mingine michafu zaidi inajulikana. Wana CDM tuwe makini.
Huu ni mpango wa ccm kuua upinzani kwa kum-frustrate Mbowe, mbaya sana.John Faru amefanya kazi yake kama alivyofanyakazi kwa Baba yake. Pole sana!!
Hayo mambo kuna timu nzima ccm wanafanya na yapo mengi tu yatatokea kabla ya October. Kuna hofu kubwa sana ccm dhidi ya CDM.CCM ndo walimwambia aende Club ?
Walichelewa kutoa taarifa kuwa kashambukiwa na wasiojulikanaDudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani.