TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

Wote walio weka malinbukeni isipokuwa wewe usie nayo ? wabongo mnavutuko sana 🤣🤣🤣🤣 kuna watu wameweka Electric fense wamekuzidi kwa kila kitu
Electrical fence tembea uone usije fikiria electrical fence kila aliyenayo anahela kuliko wasio nazo! Ujinga tu mda mwingine wa kujimwambafai! Hata jumba la Mengi kule Machame hatukuona electrical fence ila kinyampa mmoja mwenye milioni 50 bank anavimba kwa electrical fence!
 
Siyo kweli, maji yenye nguvu ni ya bahari, nayajuwa maji vizuri with survive at sea course.
 
 
Ficha upumbavu wako, nyumba unaweza usiweke electrical fence lakini camera ziko pande zote na ndani una moto, njoo nakuangalieni tu makaburi yenu yatakuwa nyumbani kwangu hatoki MTU.
 
Trafki warudishwe barabarani vifo vimekuwa vingi sana.
 
😀😀😀 nani kakuambia kuweke Electric fense ni utajiri au kwamba ni sign ya kuwa na hela ? Una mawazo ya kale kabisaaa
 
Ni vile umetafsiri utundu wa watoto kama tabia mbaya (lakini utundu wa watoto ni hali ya kutaka kujua kilakitu ktk ukuaji wake) ktk huo utundu/ujuaji ndipo utagundua mwanao ana akili kiasi gani na ana kipaji kipi... Kitaalam na kisayansi mtoto mzuri ni yule ambaye anahangaika kufanya mambo mengi ili ajue uzuri/ubaya wa kitu/jambo husika... Kwa maana hiyo hata umkaripie na kumpiga mtoto utundu au kutaka kujua kilakitu hawezi kuacha, na hii haina maana ana tabia mbaya, ukiona mtoto maisha yake ni upole tu ukienda mjini ukirudi alipokaa amekaa ujue huyo anashida ya kisaikolojia...
 
Sijatafsiri kwamba ni tabia mbaya, mtoto yoyote lazima umlee katika maadili ya usikivu na utekelezaji kwa kile unacho muambia kama mzazi. Kama hutoweza mlea katika njia hiyo ni tatizo hilo. Kila kitu kina mipaka hasa katika malezi, mtoto anapanga juu ya ukuta kujifunza nini ?
 
Inasikitisha sana. Mtoto mdogo anapoteza maisha katika kitu ambacho mzazi ulidhani umemtengenezea mwanao kitu cha kumpa furaha.

Sijui kama kuna maneno yanayoweza kuwapa faraja wafiwa lakini itoshe kusema Mungu awape ujasiri wa kulipokea jambo hili lilogumu sana.

Poleni sana wazazi.
 
tujitahidi angalau kupeleka watoto kwenye madarasa kujifunza hivi vitu vidogo vidogo kama kuogelea, boxing, karate nk, madarasa ya language tofauti tofauti nk. Vinasaidia angalau kuwajenga na kulingana na dunia ya sasa.
... tatizo halijawa kubwa kihivyo kuhitaji kuchukua hatua za pamoja za kijamii. Kufa wawili, watatu kwa mwaka kwa tukio fulani ni jambo la kawaida. Tukio linakuwa tatizo pale kunapokua na series of repetition.

Kwa mfano, watoto wanaopatwa ajali za bodaboda iwe kwa kupakizwa, kuvuka barabara, n.k. hilo kweli ni tatizo la kijamii hatua collectively zapaswa kuchukuliwa.
 
Tupo pamoja kwenye hili Rick....

Kuna Swimming pool na ile kitu inaitwa Electric fance....sijawahi kutamani..

Unaweka kuzuia wezi baadaye inakuulia mtoto wako mwenyewe...
Shida kuu ya electric fence naona ipo kwa mafundi wanao install hiyo system siku hizi , kuna ethics zinakosewa ambazo zina compromise usalama , kwa engo la kujipatia faida tu
Mfano urefu wa ukuta ni muhimu sana , sasa fundi anakuta umejenga ukuta mfupi badala ya kushauri ukuta urefushwe ye ana install system, unauwa majirani na wanao
 
Urefu wa ukuta unatakiwa kuwaje? Maana fence nyingi ni tofali 8 kutoka kwenye msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…