unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 476
Eeh bhana, we' ulijua Nchaga au?Huyu Mwambe ni mtu wa Ntwara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh bhana, we' ulijua Nchaga au?Huyu Mwambe ni mtu wa Ntwara?
Yaani niliposoma comment yako ulionekana usha data tayariBora uzima uwezi jua
RipMtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao.
Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa.
Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
View attachment 2334563
Sema sakafu haina rafiki kuendana na beat ya threadUfahari wako kaburi lako, maji hayana rafiki ukicheza tu utayanywa bila kupenda
Mara nyingi watoto wameshindwa kufanya measurements & evaluation kwenye mambo mengi.Daaah me kwa kweli swimming pool hata nikiwa na hela vipi sitaweka huu ujingaaa...
Ulizama kwa kichwa ukanasa miguu? Nawaza ulipigaje kelele pole mkuu...mi nimeshanusurika sana na majiMara nyingi watoto wameshindwa kufanya measurements & evaluation kwenye mambo mengi.
Mungu atusaidie Sanaa kwa kweli TANGU NILIPO NUSULIKA KUFA KWENYE BWAWA mpaka leo nimekua mtu mzima huwa maji nayaoga bafuni au kunyeshewa na mvua sio kwenda kuogelea..
Nilijilusha Kama Schwerzeniger Kwenye kina kirefu kumbe POND lilikua na tope Chini alaf nikiwa age 7 nikanasa nikaanza kupiga kelele ndio jamaa wakaniwai kunitoaa nika kamuliwa maji na kutapishwa maji mzaa WEEK mbili masikio hayasikii ni BALAA mzee.
Mimi ni mtazamaji kwa Sasa katu sijawai thubutu Tena kuogelea period!
Na davidoyaah noma sana kuna yule msanii wa africa sijui 2face nae alizika mwanae kisa swimming pool
Ni muda wa kutengeneza mazingira ya kurudi bungeni
"Unasema kweli?.
Ni miguu nilipo kua na ibuka juu kwa mayowe ndipo nilizid kulielekea topeUlizama kwa kichwa ukanasa miguu? Nawaza ulipigaje kelele pole mkuu...mi nimeshanusurika sana na maji
Kumbe na electric fancy ni hatari eeh?Tupo pamoja kwenye hili Rick....
Kuna Swimming pool na ile kitu inaitwa Electric fance....sijawahi kutamani..
Unaweka kuzuia wezi baadaye inakuulia mtoto wako mwenyewe...
Imebidi nicheke japo haitakiwi kucheka kwenye msibaKuna mtu hakusema rest in peace ndo kaamua kusema leo