Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

Huyu mwanamke ni kati ya wapuuzi wacheche walio jishushia heshma kwa kasi ya ajabu sana
Sure aliheshimika sana zamani, kwavile alificha tabia yake sifa zilipozidi kumjaza kichwa Kuwa yeye ni mzuri ndo akaona atumie nafasi hiyo..kwasasa anataka kutrend kama kina zuchu maana nyimbo zake mpya sio hits tena kama za miaka ya nyuma upako ulisharudi Kwa mwenye nao
 
Hii kali! Anaenda kuolewa wakati mama yake kaikimbia ndoa kikatili, au huyo jamaa ake kaamua tu apate shoo iliyohalalishwa hata likitokea la kutokea asije akajuta. Wanasema jani halianguki mbali na mti wake. Wengine hatuna ujasiri kuoa watoto ambao mama zao walizikimbia ndoa zao kibishi au mama zao ambao hawana ndoa
 
Ukatili ni asili ya kabila la mama
 
Anatoa nuksi kwanza kisha bingiri bingiri laanzaaaa twaweza waza hivi ila ukaja shangaa wanaishi na mumewe hadi kifo kinawatenganishaaa
 
Back
Top Bottom