Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

Mama yake akijiona mzuri sana akimuangalia Mzee shusho Hana mvuto akasema beauty yake haiwezi kuishia kwa kizee kama kile ukizingatia kizee kiliacha kazi TRA..sasa siku ya ndoa naona watakaa meza tofauti
 
Mtoto kachagua kuolewa mama kachagua kudanga
Hii ina maana binti aliona kwa macho yake kuwa baba yake hakuwa mnyanyasaji kwa mama yake,mabinti waluoshuhudia unyanyasaji huchukia wanaume na hutuita mbwa
Uko sahihi kiukweli hivi vitu vimetiathiri mno
Ni Neema tu kuamua kuingia huko km umeyaona hayo kw macho mama akiyapitia
 
Back
Top Bottom