Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

Tafadhali sana mtoa mada usidhalilishe cheo Cha uchungaji kiasi hicho christina ni muhuni tuu kama wahuni wengine au mdangaji malaya flani hivii sio mchungaji, sijui atamshauri nini mwanae siku ya harusi 🙆🏿‍♂️ lakini jamaa anaeoa akae mguu sawa maji hua yanafuata njia yake
Kuwa sio mchungaji sawa .ila la umalaya je unauhakika amelala na nani? Ww una mama bint na dada je unataka kigezo ulicjotumia kumwita malaya kitumike kwao?
Kitendo cha kutoka ndoan kwa kumsingizia mungu kamuonesha hicho ni sahihi kumvua uchungaji.
 
Ezekieli 16:44

"Tazama, kila mtu atumiaye mithali atatumia mithali hii kinyume chako, akisema, Kama mama ya mtu alivyo, ndivyo alivyo binti yake"

Kama mama ya mtu alivyo, ndivyo alivyo binti yake📌
 
Back
Top Bottom