Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Wanajiona wao ni watakatifu sana.Comments za wavulana sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajiona wao ni watakatifu sana.Comments za wavulana sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mch feki huyuMtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
View attachment 2991397
Kumbee anamtotooo mkubwaa anaonaa ujinga wake aiseeMtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
View attachment 2991397
Ajipange mkwee ajipange kweli hawa watu wanarithi oohhh hayaa mkwe karibu kwetu babamkwee ndie kule manamkwe huku tuvumiliane tuMtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
View attachment 2991397
😂😂😂😂😂Umri wa binti jumlisha miaka 20 ni sawa na umri wa mama, tafuta umri wa mama.
Like mother like daughter. Huyu mwamba ajiandae kuachwa
Hapo sawaMtoto kafuata ubabani.
Yaaani🙆🙆Wanajiona wao ni watakatifu sana.
Ngoma ngumu ......Mama ake yeye katoka hii dunia ina mambo magumu siku ya harusi mama atatoa ushauri upi?
Huoni sura ya baba na sio ya mama!Hapo sawa
'Like mother like her daughter.'Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
View attachment 2991397
Hueleweki. Mara wachungaji wanakula kondoo, halafu hapo hapo unamsapoti Mchungaji Kristina Shusho. Kama unaona Shusho anastahili kuishi maisha yake na kutoka nje ya ndoa, kwanini unawahukumu wachungaji wanaokula kondoo?. Punguza double standard.Nasoma comments za walokole.
Makanisa ya kilokole huko kanisani wachungaji wanakula kondoo sana, hizi dininni utapeli mtupu.
Unakuta dume zima na kengele zake mbili , povu linamtoka hapa kwenye comments kisa mtu kuishi maisha yake na kakataa ndoa, sasa kama mna uchungu na ndoa si muende mkaolewe na huyo mmewe aliyemuacha?
Nina maana ya kuwa kama wachungaji ni wala kondoo waliokubuhu, vipi hao kondoo, hao kondoo ndio wapo humu kumsema huyo dada aliyeamua kuishi maisha yake pasipo unafiki.Hueleweki. Mara wachungaji wanakula kondoo, halafu hapo hapo unamsapoti Mchungaji Kristina Shusho. Kama unaona Shusho anastahili kuishi maisha yake na kutoka nje ya ndoa, kwanini unawahukumu wachungaji wanaokula kondoo?. Punguza double standard.
Tafadhali sana mtoa mada usidhalilishe cheo Cha uchungaji kiasi hicho christina ni muhuni tuu kama wahuni wengine au mdangaji malaya flani hivii sio mchungaji, sijui atamshauri nini mwanae siku ya harusi 🙆🏿♂️ lakini jamaa anaeoa akae mguu sawa maji hua yanafuata njia yake