Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

Kuwa sio mchungaji sawa .ila la umalaya je unauhakika amelala na nani? Ww una mama bint na dada je unataka kigezo ulicjotumia kumwita malaya kitumike kwao?
Kitendo cha kutoka ndoan kwa kumsingizia mungu kamuonesha hicho ni sahihi kumvua uchungaji.
 
Ezekieli 16:44

"Tazama, kila mtu atumiaye mithali atatumia mithali hii kinyume chako, akisema, Kama mama ya mtu alivyo, ndivyo alivyo binti yake"

Kama mama ya mtu alivyo, ndivyo alivyo binti yake📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…