Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

MCH KAMA.HUYU ANGEKUWA BADO ANAZAA AACHI KUKULETEA MTOTO WA NJE NA KUKWAMBIA WAKOO

NA WASIWASI KAMA HUYU N WA MZEE WETU KWELI MMH
 
Christina Shusho ni kibibi sana, ana mtoto mkubwa kumbe, ila Christina ni mfano wa mama mbaya sana
 
Jambo jema, chamsingi akatulie tu na mwenza wake asifate nyayo za mamake...
Maana mama yake ya ulimwengu yamemzidia
 
Nasoma comments za walokole.
Makanisa ya kilokole huko kanisani wachungaji wanakula kondoo sana, hizi dininni utapeli mtupu.



Unakuta dume zima na kengele zake mbili , povu linamtoka hapa kwenye comments kisa mtu kuishi maisha yake na kakataa ndoa, sasa kama mna uchungu na ndoa si muende mkaolewe na huyo mmewe aliyemuacha?
 
Hueleweki. Mara wachungaji wanakula kondoo, halafu hapo hapo unamsapoti Mchungaji Kristina Shusho. Kama unaona Shusho anastahili kuishi maisha yake na kutoka nje ya ndoa, kwanini unawahukumu wachungaji wanaokula kondoo?. Punguza double standard.
 
Hueleweki. Mara wachungaji wanakula kondoo, halafu hapo hapo unamsapoti Mchungaji Kristina Shusho. Kama unaona Shusho anastahili kuishi maisha yake na kutoka nje ya ndoa, kwanini unawahukumu wachungaji wanaokula kondoo?. Punguza double standard.
Nina maana ya kuwa kama wachungaji ni wala kondoo waliokubuhu, vipi hao kondoo, hao kondoo ndio wapo humu kumsema huyo dada aliyeamua kuishi maisha yake pasipo unafiki.

Inasikitisha sana.
 


Mchungaji ni baba wa binti sio mama yake.

Mzee Shusho ni Mchungaji.

Christina hata yeye mwenyewe wala hapendi kuitwa Mchungaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…