mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Itakuwa ndio wale hujifanya kulea kuzungu.Toto mmelidekeza halafu mnakuja kutusumbua humu JF.
"Junior don do that please my baby"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ndio wale hujifanya kulea kuzungu.Toto mmelidekeza halafu mnakuja kutusumbua humu JF.
Aliyekuambia wazungu hawapeleki watoto shule ni naniAcha ushamba wako..
Wazungu hawapeleki mtoto shule..
Wanampa vtu achague..
Akichagua mpira basi atapelekwa kucheza mpira..
Akichagua gari atakuwa fundi
Kama kitu huju ni vyema kuuliza mkuu
Halafu anaona fahari kutuletea malezi ya kijinga humu!Itakuwa ndio wale hujifanya kulea kuzungu.
"Junior don do that please my baby"
Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
Hatari sanaInategemea wakati wa kumtafuta mlikuwa wapi !.
Watoto wanaopatikana vitanda vya Guest House 🏠 ni janga la kitaifa.
Vitanda vya GH vinatumiwa na watu wengi sana vina kila aina maroho ukijichanganya unaleta mitoto mijambazi,mikatili,malaya .... unakuta hizo tabia kwenu hazipo kabisa.
Baada ya kufunga ndoa hasa za Wakristo utasikia wanakwenda honeymoon (Mahotelini) wanandoa wanaanza kubeba roho za vitanda,rooms za Hotel wakirejea ktk maisha ya ndoa wanazaa mitoto mishenzi.
Pipa + end product = mfunikoWazazi wa kizazi hiki 😂😂😂😂 yaani watoto siku hizi wameanza kulia kabla hata ya kuzaliwa
Hebu ngoja nichungulie Id ya mwanzisha Uzi
🤣Muoneshe posts za Lucas Mwashambwa na umuambie ukiwa mkubwa utakuwa unabubujikwa na machozi kama huyu.
Exactly uzungu plus u-junior ukizidi ni tatizo. Nna dogo Feb anatimiza miaka mitatu. Ashajua baba nilivyo heshima mbele, huyu kuna mahali kafeli na akizembea hizo pigo sijui ukikaa nae kama mkubwa mwenzio atajuta muda ukifika.Wazazi wengine wanaudhaifu mkubwa sana, mtoto wa miaka 6 anakuvimbia lazima kuna shida kwa wote wawili baba na mama
Acha ukorofi eti wanamsikia tumboni... Huyu jamaa na mke wake wanaanza kufeli taratibu acha waendekeze huo uspesho.Inawezekana kabisa. Mimi mtoto akinijibu hivyo labda sijamzaa mimi.
Ila inawezekana pia huyu mtoto ni special case nashindwa kujudge sana.
Imagine walikuwa wanamsikia akilia akiwa tumboni😅
Hovyo kabisa eti mkubwa mwenzio upuuzi mtupuUnasifia upumbavu mkuu na matabia ya hovyo
Upo sahihi mkuuMazingira ya shule inawezekana yanamtisha!! Viboko vingi au anapigwa na wenzakee!
Nenda kafuatilie badala ya kumlazimisha na kumsukuma sukuma!
Wazazi wa siku hizi huwa ni MAMBOYOYO sana / MAPOYOYO.
Mazingira ya shule labda sio rafiki, hata majengo tu yanaweza kumtisha mtoto. Au walimu WANAFOKA sana.
The overall environmental psychology ya shule inaweza kumfanya mtoto apachukie shule.
Kuna kale ka ATMOSPHERE cha shule huwa kanatisha sana watoto. FUATILIA acha ujinga BABA JUNIOR.
Mazingira ya shule kwa watoto yanapaswa kuwa rafiki sana kuanzia majengo, haiba ya walimu, madawati, vitabu wanavyosoma.... kila kitu lazima kiwe SMOOTH AND FRIENDLY.
Tena hili lishughulikiwe kitaifa kwa msaada wa wataalamu wa saikolojia za watoto.
Unakuta lishule limebomoka madirisha halafu ndani giza, lazima mtoto aangue kilio na kukataa shule.
Wekeni hata ngoma wachezee, midoli, bembea, na makorokoro mengine ya kuwavutia
Cc: Dkt. Gwajima D Dr. Mariposa Labella Evelyn Salt Demi Kalpana
hakuna ajiraHata na mimi nina dogo langu la form one limegoma kabisa kwenda shule. Nimepiga hadi nimechoka
Naona tatizo la watoto kukataa shule imekua janga la kitaifa
hakuna ajiraNi wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
nani kasema wazungu wanafanya hivi?Watoto kama hao ndo wanakuja kuwa ma genius badae yaani
Kama hataki shule fanya kama wazungu wanamchukua mtoto alafu wanamfungia ndani wanamuwekea kila kitu magari, ndege meli piki piki na vikorokoro kibaoa..
Mtoto anakua anapelekewa chakula tuu yaani yeye anaishi huko huko mpaka agundue kitu au atatoka akiwa anapenda kiti flan basi ndo watampelekq chuo cha hivo viti moja kwa moja mkuu .
Kama hataki shule na kucheza asicheze na wenzake akae ndani tuNi wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
Akina Juniors Hawa🤣🤣🤣😂😂... We unadhani mtoto wa Ngengemkeni mitomingi angekataa???!🤣🤣😂😂
Huyu ni eat more fruits the slogan says🤣😂🤣🤣
Humo serikalini kuna wagushi vyeti wangapi? Kuwa serikalini ndiyo guarantee ya shule kuwepo kichwani? Wewe kweli hamnazo.Ningeajiliwa serikali n????
Mmezaa ancestorNi wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana