Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Mimi wangu hua naongea nao kwa sign za macho tu wanaelewaEeee! Angejuta kuzaliwa eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi wangu hua naongea nao kwa sign za macho tu wanaelewaEeee! Angejuta kuzaliwa eti?
Nikupe unisaidie kuleahizi tabia za kulea watoto kimayaimayai na kuogopa kuwaeleza ukweli sijui kutaleta taifa la namna gani uko mbele. baadhi ya wazazi wamekuwa wajinga sana wanadhan kumdekeza mtoto ndo kumpenda. hawana habari wanatengeneza bomu litakalomlipukia mwenyewe apo bdae.
ndo maana sio ajabu kusikia kauli km za huyu mleta mada eti "mtoto amekuwa kama mkubwa" au "mtoto hapendi" hlf apo anaongelea kitoto cha miaka 6😳.
kuna siku tulikuwa kikao cha wazazi shuleni sasa baadhi ya maoni ya wazazi kuhusu stahiki na treatment ya watoto yalikuwa ya kustaajabisha sana yanafanana na ya mleta mada.
hamna baba hapo tumepigwaBABA JUNIOR unazingua
Hizo ndio kazi zako mwambie mwana amlete mtoto apewe darasaTafuta msaada kwa kisaikolojia ili kumweka mtoto sawa.
Kuna muda wizo unatema madini ila sasa ukiamua kujizima WiFi nachoka kabisa..!!Mazingira ya shule inawezekana yanamtisha!! Viboko vingi au anapigwa na wenzakee!
Nenda kafuatilie badala ya kumlazimisha na kumsukuma sukuma!
Wazazi wa siku hizi huwa ni MAMBOYOYO sana / MAPOYOYO.
Mazingira ya shule labda sio rafiki, hata majengo tu yanaweza kumtisha mtoto. Au walimu WANAFOKA sana.
The overall environmental psychology ya shule inaweza kumfanya mtoto apachukie shule.
Kuna kale ka ATMOSPHERE cha shule huwa kanatisha sana watoto. FUATILIA acha ujinga BABA JUNIOR.
Mazingira ya shule kwa watoto yanapaswa kuwa rafiki sana kuanzia majengo, haiba ya walimu, madawati, vitabu wanavyosoma.... kila kitu lazima kiwe SMOOTH AND FRIENDLY.
Tena hili lishughulikiwe kitaifa kwa msaada wa wataalamu wa saikolojia za watoto.
Unakuta lishule limebomoka madirisha halafu ndani giza, lazima mtoto aangue kilio na kukataa shule.
Wekeni hata ngoma wachezee, midoli, bembea, na makorokoro mengine ya kuwavutia
Cc: Dkt. Gwajima D Dr. Mariposa Labella Evelyn Salt Demi Kalpana
Aanze na wewe kukurudisha kiumeniHizo ndio kazi zako mwambie mwana amlete mtoto apewe darasa
Kwa nini mkuu😁😁Hizo ndio kazi zako mwambie mwana amlete mtoto apewe darasa
"Usinione hivi, nina DIPLOMA YA MAENDELEO YA JAMII".Kuna muda wizo unatema madini ila sasa ukiamua kujizima WiFi nachoka kabisa..!!
Umezaa jiniasi Mzee..... Aendelee hivyo hivyo ila usije ukamuingiza kwenye Mambo ya Imani za waarabu au Wazungu au WahinduNi wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
Huyo kwenye malezi inaonyesha kuna kipindi mlijisahau kwenye uangalizi au kama si hivyo huenda mnaishi kwenye mazingira ya changanyikeni au kama si hivyo nyumba mnayokaa ina wapangaji wengi wenye tabia mbalimbali ni rahisi mtoto kukopi tabia za ajabu.Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
Hii umeitoa kirikuu.Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali