Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

Nimeshindwa shauri,

Seems mzazi anaandika hili akijisifu,

Unadhani shule anajifunza kuandika Tu na kusoma?

What about michezo, communication with other people, peer growth, kujitegemea

Mkifanya mchezo mtashangaa dogo ana 50yrs bado Yupo home
 
Acha ushamba wako..
Wazungu hawapeleki mtoto shule..
Wanampa vtu achague..

Akichagua mpira basi atapelekwa kucheza mpira..
Akichagua gari atakuwa fundi

Kama kitu huju ni vyema kuuliza mkuu
Aliyekuambia wazungu hawapeleki watoto shule ni nani
Mtoto lazima aende shule akajifunze vitu basic kwanza

Kama ni kipaji atapelekwa lakini shule ni lazima mzee
 

Inategemea wakati wa kumtafuta mlikuwa wapi !.

Watoto wanaopatikana vitanda vya Guest House 🏠 ni janga la kitaifa.

Vitanda vya GH vinatumiwa na watu wengi sana vina kila aina maroho ukijichanganya unaleta mitoto mijambazi,mikatili,malaya .... unakuta hizo tabia kwenu hazipo kabisa.

Baada ya kufunga ndoa hasa za Wakristo utasikia wanakwenda honeymoon (Mahotelini) wanandoa wanaanza kubeba roho za vitanda,rooms za Hotel wakirejea ktk maisha ya ndoa wanazaa mitoto mishenzi.
 
Hatari sana
 
Wazazi wa kizazi hiki 😂😂😂😂 yaani watoto siku hizi wameanza kulia kabla hata ya kuzaliwa

Hebu ngoja nichungulie Id ya mwanzisha Uzi
Pipa + end product = mfuniko
 
Reactions: a45
Wazazi wengine wanaudhaifu mkubwa sana, mtoto wa miaka 6 anakuvimbia lazima kuna shida kwa wote wawili baba na mama
Exactly uzungu plus u-junior ukizidi ni tatizo. Nna dogo Feb anatimiza miaka mitatu. Ashajua baba nilivyo heshima mbele, huyu kuna mahali kafeli na akizembea hizo pigo sijui ukikaa nae kama mkubwa mwenzio atajuta muda ukifika.
 
Inawezekana kabisa. Mimi mtoto akinijibu hivyo labda sijamzaa mimi.
Ila inawezekana pia huyu mtoto ni special case nashindwa kujudge sana.
Imagine walikuwa wanamsikia akilia akiwa tumboni😅
Acha ukorofi eti wanamsikia tumboni... Huyu jamaa na mke wake wanaanza kufeli taratibu acha waendekeze huo uspesho.
 
Upo sahihi mkuu
 
hakuna ajira
 
nani kasema wazungu wanafanya hivi?

dogo apigwe mpaka akubali shule asilete upumbavu.
 
Kama hataki shule na kucheza asicheze na wenzake akae ndani tu
 
tatixo ajira
Akina Juniors Hawa🤣🤣🤣😂😂... We unadhani mtoto wa Ngengemkeni mitomingi angekataa???!🤣🤣😂😂
Huyu ni eat more fruits the slogan says🤣😂🤣🤣
 
Mmezaa ancestor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…