Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

Kwa sisi wa interior umri huu ulikuwa ni umri wa kuchunga ng'ombe kwanza hadi afike 8 kwenda 10 huko, ndipo apelekwe kuanza la kwanza(sio chekechekea).

Kuweni naye karibu huku mkimzoesha/mshawishi mambo ya shule, itafika muda atazoea na kuweza kwenda shule
 
Mfundishe kazi. Elimu siyo kwenda shule tu.
 
daah nilikuwa sijajua hii mdau...hebu fungua zaidi mkuu km hutajali
 
Tuleteeni ustawi wa jamii watoto wote wenye changamoto aina hii tuseme nao na wataalamu wa saikolojia tuweke diagnosis na mpango sahihi wa kuwasaidia kisha wazazi mtaitwa mpewe taarifa kamili Ili tushirikiane kwenye mipango hiyo ✍🏻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…