3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
We wasemaBao apige mwingine,wewe ung’ang’anie ukaribu na bao la mchizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We wasemaBao apige mwingine,wewe ung’ang’anie ukaribu na bao la mchizi?
Nilijaribu kumuuliza mwanamke kuhusu malezi ya baba yake akasema ya kawaida sana, jamaa aje amchukue si ndio maana yake akae naye tu maana ndiye anaye mtambua na mama yake hataki mtoto wake aende kwa yule baba.Inaonekana baba yake mzazi alikuwa anamjali sana na kumlea vizuri
Sasa anaona wewe unalazimisha kuingia sehemu ya baba yake
Kumbuka miaka 4 anaelewa vizuri kinachoendelea
Kuwa mpole na usimuite baba kwani anajua baba ni nani
Ni vizuri kama baba yake yupo ungemshawishi mkeo jamaa awe anakuja kumchukua mara moja moja
Kama hajulikani ni tatizo lingine
Ila kama yupo na uliamua kuoa single mother basi itabidi uvumilie mengi
Hii maneno ya masingo maza tulishakubaliana kwamba hakuna kuoa. Sasa huyu apambane na hali yake. Sisi tupo bize kuvaa barakoa maana hii corona mpya upimaji wake hatuupendi kabisa. 😂😂😂Wataaanza oooh umeoaje single mother ...
Kusema ukweli kuoa ma single mother kuna changamoto yeye anataka umpende mwanaye mwanaye hakupendi mama anajaribu kulazimisha ili asimtie aibu maana alimtetea kuja kukaa na ww lakini mtoto hana mood kabisa. ngumu sanaHii maneno ya masingo maza tulishakubaliana kwamba hakuna kuoa. Sasa huyu apambane na hali yake. Sisi tupo bize kuvaa barakoa maana hii corona mpya upimaji wake hatuupendi kabisa. 😂😂😂
NI UTOTO UNMSUMBUA ataacha alikua.........endelea kum care. ...ingawa anaonekana ana kbur cha kichaw......
Anyway
MWANAMKE WA KUOLEWA AWE.....BIKRA TU ...
Eti Ila Kuna watu Wana mioyo 😂😂😂😂😂Bao apige mwingine,wewe ung’ang’anie ukaribu na bao la mchizi?
Duh! Basi mtoto atakuwa ameisoma HATARI KUBWA SANA huko mbeleni magunia mawili ya mkaa n.k, ujue watoto wadogo ni kama malaika. Mkuu, wewe utakuwa ni mtu hatari sana.Nadhani mama mtoto alitakiwa kwanza amzoeshe mwanaye kumfahamu mtu aliye naye kimapenzi kabla hawajakubaliana ili mtoto amjue baba mdogo au baba wa kambo labda, mtoto hafokewi wala mama yake hafokewi ni amani kabisa, hilo la michezo nilijua anacheza gemu kwenye simu ya mama yake nikamletea ki machine kidogo cha gemu amekikataa nikampa simu yangu akakataa nikanunua simu flani ili asisumbue ya mama yake akakataa
upo na mama yake mwaka wa 2 sasa maana ulimchukua akiwa na mwaka 1, tazoeaje mfano
😂😂Duh! Basi mtoto atakuwa ameisoma HATARI KUBWA SANA huko mbeleni magunia mawili ya mkaa n.k, ujue watoto wadogo ni kama malaika. Mkuu, wewe utakuwa ni mtu hatari sana.
Nikome kuoa singo motherNdio ukome!
Inaonekana baba yake mzazi alikuwa anamjali sana na kumlea vizuri
Sasa anaona wewe unalazimisha kuingia sehemu ya baba yake
Kumbuka miaka 4 anaelewa vizuri kinachoendelea
Kuwa mpole na usimuite baba kwani anajua baba ni nani
Ni vizuri kama baba yake yupo ungemshawishi mkeo jamaa awe anakuja kumchukua mara moja moja
Kama hajulikani ni tatizo lingine
Ila kama yupo na uliamua kuoa single mother basi itabidi uvumilie mengi
Wewe sepa zako,jifanye nawe ndgu wa nyangeImetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali, unamletea juice, pipi, biscuit mara kwa mara kama zawadi hataki, siku moja mkiwa wawili wewe na mkeo mama anamuuliza mbele yako huyu nani anasema hajui.
Wenye uzoefu na haya mambo unafanyaje, kwanza mama hajisikii vizuri mtoto kutokuwa karibu na ww na hataki kukusogelea ukizingatia kuwa mkeo alikwambia kuishi na mimi lazima umkubali mwanaye.
zingatia kwamba mkeo hana tena wazazi kwamba angempeleka mtoto kwa bibi yake.
Tunafanyaje kwa mfano huu.
Sio hadi mama akutengenezee connection.Nadhani mama mtoto alitakiwa kwanza amzoeshe mwanaye kumfahamu mtu aliye naye kimapenzi kabla hawajakubaliana ili mtoto amjue baba mdogo au baba wa kambo labda, mtoto hafokewi wala mama yake hafokewi ni amani kabisa, hilo la michezo nilijua anacheza gemu kwenye simu ya mama yake nikamletea ki machine kidogo cha gemu amekikataa nikampa simu yangu akakataa nikanunua simu flani ili asisumbue ya mama yake akakataa
Nilijaribu kumuuliza mwanamke kuhusu malezi ya baba yake akasema ya kawaida sana, jamaa aje amchukue si ndio maana yake akae naye tu maana ndiye anaye mtambua na mama yake hataki mtoto wake aende kwa yule baba.
Wew ndio umeanza lkn hahahahaWataaanza oooh umeoaje single mother ...