Sio Kuendesha tu...hata kupanda Hawapandi eti wanaogopa Kufa wao ni Vieiti tu..Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Kwahiyo wote ni watoto wa hao?? Achenii siasa za matusii. Mtu alikaa ukoo, Leo hiii Arusha inapendeza barabara nzuriii, halafu mtu unatukana Ajira za watu wanaolea familia zao eti wanafanya KAZI za kulaaniwaa??kwanin watoto wa kitila mkumbo na madelu hawaendeshi bodaboda badala yake wamepelekwa BOT.
Meya anaomba walipe kodiUsiangalie hela tu. Kama unaangalia hela tu utaishia kusema hata wizi ni kazi, hata kujiuza ni kazi, n.k
Ndio nasema huo mfano wa watoto wa viongozi sio sahihi, maana hao watoto wa viongozi huwezi kuwakuta katika kazi nyingi tu na sio kwenye bodaboda tu sasa hata sijui ilikuaje mkaleta mfano kama huo?kinachomaanishwa hapa ni kwamba hao viongoz hawapaswi kuongelea swala la bodaboda kama kaz nzur maana ingewa kaz nzuri watoto wao wasingekuwa BOT,TRA,MASHIRIKA YA UMMA na kwingineko badala yake wangewa bodaboda lakin kwa kuwa ni kaz ya laana ndio maana watoto wao hawafanyi hio kaz.
Hakuna mtoto wa mkubwa ambae ni mwalimu. Je ualimu ni laana pia?
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Mbona hoja ya kijinga kwani watoto wote wasio wa viongozi wanaendesha bodaboda hadi uhoji watoto wa Kitila mkumbo kutokuendesha bodaboda? Mbona hauhoji hao watoto wa Kitila kutokuendesha Taxi au kuwa madereva wa kuendesha viongozi?kwanin watoto wa kitila mkumbo na madelu hawaendeshi bodaboda badala yake wamepelekwa BOT.
Inawezekana huyo lema hakueleweka hata mm sikumuelewa ila wewe umefafanua vizuri sana.Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Hebu rudia tena kilichoulizwa kisha rudia kusoma ulichojibu.Wapo watoto wa wakubwa ambao ni walimu,
Nyerere alikuwa Mwalimu na alitaka kuitwa hivyo.
Wake wa JK na JPM walikuwa walimu.
Baada ya ajira kukosekana lakiniWala sio kazi ya laana
Kipimo cha utu ni kazi na kipimo cha kazi ni pesa ni hela, ina maana kipimo cha utu ni pesa
Vijana wanapata faranga kupitia bodaboda naomba heshima Ofisi
Nakuuliiza wewe mwana ccm na sio mwana chadema kama kichwa Cha habari kinavyosema jibu tu!Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Kama ni kazi , kwanini Samia na Kikwete hawajawanunulia watoto zao Bodaboda ili wawe wanaendesha hapa mjini ?Wala sio kazi ya laana
Kipimo cha utu ni kazi na kipimo cha kazi ni pesa ni hela, ina maana kipimo cha utu ni pesa
Vijana wanapata faranga kupitia bodaboda naomba heshima Ofisi
Huku wanahadaiwa na huku kwengine watukanwa kabisa, yani wanasiasa wanavyowafanya watanzania Mungu anawaona.CCM waache kuwahadaa Wananchi.
Ccm yote Ina watu wakubwa? Hakuna maskini huko ccm wanaoendesha bodaboda?Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Kwahiyo hata udereva wa nao si kazi ndio maana hakuna mtoto wa kiongozi anayefanya kazi ya taxi au kuajiriwa kuwaendesha viongozi?Kama ni kazi , kwanini Samia na Kikwete hawajawanunulia watoto zao Bodaboda ili wawe wanaendesha hapa mjini ?
Kwani nani keshawahi kupanda daladala na mtoto wa Rais? Au nani keshawahi kupanda basi moja la mkoani na mtoto wa Rais? Kuna aliyewahi kumuona mtoto wa Rais anatembea kwa miguu anakatisha mitaa huko town kama sie wengine?Nakuuliiza wewe mwana ccm na sio mwana chadema kama kichwa Cha habari kinavyosema jibu tu!
Kama kuendesha boda boda sio laana lini ridhiwani kikwete na watoto wote maraisi na mawaziri wetu walipanda boda zenu?hachani uchambuzi uxhwara.