Boss hadi leo sisi tunaku-address kama Pasco Mayalla ilhali wewe ni mtu mzima. Je Ni makosa kukuita Pasco Mayalla? Kwanini iwe nongwa kwa huyo muhuni kuitwa mtoto wa Malecela?Duh...!. Mkuu JokaKuu , kwa Tanzania, the age of the majority ni miaka 18!. Mtu akiisha timiza umri wa miaka 18, huyo ni mtu mzima anayejitegemea, huna sababu ya kumtaja baba yake!, huku ni kumchafua bure baba mtu!. What has baba mtu got to do with kauli za mtoto wake ambaye ni mtu mzima anayejitegemea?!.
P