Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Duh...!. Mkuu JokaKuu , kwa Tanzania, the age of the majority ni miaka 18!. Mtu akiisha timiza umri wa miaka 18, huyo ni mtu mzima anayejitegemea, huna sababu ya kumtaja baba yake!, huku ni kumchafua bure baba mtu!. What has baba mtu got to do with kauli za mtoto wake ambaye ni mtu mzima anayejitegemea?!.
P
Boss hadi leo sisi tunaku-address kama Pasco Mayalla ilhali wewe ni mtu mzima. Je Ni makosa kukuita Pasco Mayalla? Kwanini iwe nongwa kwa huyo muhuni kuitwa mtoto wa Malecela?
 
Boss hadi leo sisi tunaku-address kama Pasco Mayalla ilhali wewe ni mtu mzima. Je Ni makosa kukuita Pasco Mayalla? Kwanini iwe nongwa kwa huyo muhuni kuitwa mtoto wa Malecela?
Sio kosa kumuita mtu kwa majina yake yote hadi jina la baba yake lakini sio kumtendea haki baba mtu kumtaja baba kwa makosa ya mtoto wake!.
P
 
Mzee mwenyewe ni joka la kibisa tu.
Hana lolote yule mzee.
Ameutendea haki ugogo wake sana
Wagogo wana shida kwenye vichwa vyao, huyu kijana benpol anaimba vizuri ila ishu ya ndoa yake ni km lizezeta flani hivi, mwingine kimbunga jobo😂miaka niliyoisho Dom na wingi wa vyuo lakini bado ni vilaza ajabu yani au ukame unawaponza?
 
Duh...!. Mkuu JokaKuu , kwa Tanzania, the age of the majority ni miaka 18!. Mtu akiisha timiza umri wa miaka 18, huyo ni mtu mzima anayejitegemea, huna sababu ya kumtaja baba yake!, huku ni kumchafua bure baba mtu!. What has baba mtu got to do with kauli za mtoto wake ambaye ni mtu mzima anayejitegemea?!.
P
Malekela amewahi kuwa kiongozi mkubwa wa taifa letu so yeye akiwa pia kama kiongozi wa familia lazima atajwe kwenye utovu wa nidhamu wa mwanae ili kama taifa tujue kwamba kumbe zaidi ya kuchemka kwenye baadhi ya mambo ktk utumishi wake kwa umma hata nyumba yake hakuweza kuisimamia vizuri.
 
Sio kosa kumuita mtu kwa majina yake yote hadi jina la baba yake lakini sio kumtendea haki baba mtu kumtaja baba kwa makosa ya mtoto wake!.
P
Baba ametajwa kama identity ya aliyefanya makosa. Kama baba ni maarufu basi hilo ni tatizo la watoto hao kutotambua nafasi ya familia yao kwenye jamii
 
Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.

Watu wasipotoshe hoja wala kuhamisha goli; wanacofanya ni kukosoa uongozi ulioko madarakani kwa kutumia sera na utekelezaji wake. Mifano hai hutumika kufikisha ujumbe huu. Mfano mmojawapo hai ni ajali iliyoipata taifa letu kutokana na uongozi wa awamu ya tano. Uongozi huo ulikuwa janga kubwa kwa taifa hili. Uongozi usiothamini uhai wa raia lazima usemwe usiku na mchana na kuna siku baadhi watawajibika kujibu maswali kwa ushiriki wao kwenye uovu huo. Isitoshe hata huko serikalini nako kila kukicha wanaibua uovu mkubwa kuhusu uongozi huo.
 
Baba ametajwa kama identity ya aliyefanya makosa. Kama baba ni maarufu basi hilo ni tatizo la watoto hao kutotambua nafasi ya familia yao kwenye jamii
Mkuu Jorojik , hiki ndicho kitu nilichokuwa nakizuia, regardless the role ya wazazi kwenye malezi ya watoto wao, mtoto wa over 18 akifanya makosa, ni makosa yake mwenyewe, na sio kuchafua jina safi la baba kwa madudu ya watoto.
P
 
Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.

Kweli kuzaa siyo kupata,yaani yule Mzee watoto wa kiume hana kabisa,vilaza wote.Kuna yule Boma yee William,yaani mambo anayofanya online na umri wake tofauti kabisa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wagogo wana shida kwenye vichwa vyao, huyu kijana benpol anaimba vizuri ila ishu ya ndoa yake ni km lizezeta flani hivi, mwingine kimbunga jobo😂miaka niliyoisho Dom na wingi wa vyuo lakini bado ni vilaza ajabu yani au ukame unawaponza?
ahahaaaa gogoz
 
Back
Top Bottom