Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

Nivizuri tukamjua rahisi...ni sawa mtoto wako akileta upumbavu tutamu introduce ka hivi...

"mtoto wa mugombea ubunge Kawe ambaye alichakazwa na kura moja tuu na wajumbe...."
Hahahaaaa, we jamaa bwana.
 
Nisiongeze chochote.

Fuatilia ktk video.

Mzee Malecela alikuwa na akili. Hasara kubwa amepata kwa watoto. Ukimwacha yule dada, ambaye ni marehemu RIP, hawa wengine wote ni hasara.

Hata akili ya kawaida hana. Yaani haoni hata hadhara anayoihutubia inavyo respond.
 
Mkuu Jorojik , hiki ndicho kitu nilichokuwa nakizuia, regardless the role ya wazazi kwenye malezi ya watoto wao, mtoto wa over 18 akifanya makosa, ni makosa yake mwenyewe, na sio kuchafua jina safi la baba kwa madudu ya watoto.
P



Hizi ni siasa mkuu Pascal.

“Siasa ni mchezo mchafu”!
 
Kwenye siasa za kusaka madaraka hayo ni mambo ya kawaida sana.
Dah!
Mambo kumbe ni mengi?

Sasa sijui kama unao uhakika na baadhi ya hayo kutokuwa kweli, bali yalikuwa ni ya uonevu tu!

Mimi sijui ukweli ulivyo, lakini kwa kiongozi mkubwa kama huyo "kuzushiwa"? yote hayo, bila ya sababu muhimu, inaniwia vigumu kuamini.
 
Lissu alikwenda hadi Chato na akamsema Magufuli tena akiwa hai wakati kila mtu alikuwa ameufyata, anaongea nini huyu?

Cha muhimu ni kuwa wafuasi wa Magufuli wanamalizwa kitaalamu. Hao hao CCM wanamsema vibaya na hao hao wanakuja kusema mtu asimuongelee vibaya. Wanajua baada ya kipindi cha mpito watakuwa wamelimaliza tishio lao.
 
Hii ndiyo aina ya viongozi waliopo CCM.

Wao adui yao Mkubwa ni Chadema.

Ndiyo maana mambo yako hovyo hovyo tu.

Hata waliomchagua wanaona aibu.
 
Duh...!. Mkuu JokaKuu , kwa Tanzania, the age of the majority ni miaka 18!. Mtu akiisha timiza umri wa miaka 18, huyo ni mtu mzima anayejitegemea, huna sababu ya kumtaja baba yake!, huku ni kumchafua bure baba mtu!. What has baba mtu got to do with kauli za mtoto wake ambaye ni mtu mzima anayejitegemea?!.
P

Hayo ni matunda ya Mzee , By their fruits you will recognise them
 
Huyu jamaa bado mjinga... Anashindwa soma alama za nyakati.
Wewe ndo mjinga. Muziki wa JPM umesukumwa kwa CHADEMA kiaina!!

Sasa kwasababu kila anayemtukana JPM anapata aibu kwenye mikutano...sasa CHADEMA wanayo kazi ya kuutapika huo mfupa!! CCM ni baba la siasa
 
Kwenye siasa za kusaka madaraka hayo ni mambo ya kawaida sana.
Hata yakiwa 'kawaida", kiongozi anayejiamini, na mkweli, mwenye 'conviction' ya anayoyaamini na kuyasimamia hawezi kuzuwiwa na njama hafifu kama hizo.
Wananchi wanaoona matendo yake ndio wenye uamzi wa mwisho.
 
Back
Top Bottom