MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Specifically watoto wa kiume.. wa kike hawana shida..Hivi Watoto wa Malecela wana shida gani kichwani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Specifically watoto wa kiume.. wa kike hawana shida..Hivi Watoto wa Malecela wana shida gani kichwani ?
Hahahaaaa, we jamaa bwana.Nivizuri tukamjua rahisi...ni sawa mtoto wako akileta upumbavu tutamu introduce ka hivi...
"mtoto wa mugombea ubunge Kawe ambaye alichakazwa na kura moja tuu na wajumbe...."
Mzee Malecela alikuwa na akili. Hasara kubwa amepata kwa watoto. Ukimwacha yule dada, ambaye ni marehemu RIP, hawa wengine wote ni hasara.Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Chawa wengi wa ccm miandiko yao wote inafanana.andika vizuri acha kihoro
Mkuu Jorojik , hiki ndicho kitu nilichokuwa nakizuia, regardless the role ya wazazi kwenye malezi ya watoto wao, mtoto wa over 18 akifanya makosa, ni makosa yake mwenyewe, na sio kuchafua jina safi la baba kwa madudu ya watoto.
P
..Mzee Malecela alimpoteza mwanae wa kiume anaitwa Senyagwa.
..Senyagwa alikuwa bright sana, alifariki kwa ajali ya gari akiwa mwanafunzi kitivo cha Uhandisi Udsm.
Dah!
Mambo kumbe ni mengi?
Sasa sijui kama unao uhakika na baadhi ya hayo kutokuwa kweli, bali yalikuwa ni ya uonevu tu!
Mimi sijui ukweli ulivyo, lakini kwa kiongozi mkubwa kama huyo "kuzushiwa"? yote hayo, bila ya sababu muhimu, inaniwia vigumu kuamini.
Mbona hajamtukansa mtu. Kasema ukweli tu.Huyu jamaa bado mjinga... Anashindwa soma alama za nyakati.
Na wewe uelewa wako mdogo..Mbona hajamtukansa mtu. Kasema ukweli tu.
Kwahiyo kwa huyu anayepayuka pipe ya mzee ilitoa hewa..Mzee Malecela alimpoteza mwanae wa kiume anaitwa Senyagwa.
..Senyagwa alikuwa bright sana, alifariki kwa ajali ya gari akiwa mwanafunzi kitivo cha Uhandisi Udsm.
Duh...!. Mkuu JokaKuu , kwa Tanzania, the age of the majority ni miaka 18!. Mtu akiisha timiza umri wa miaka 18, huyo ni mtu mzima anayejitegemea, huna sababu ya kumtaja baba yake!, huku ni kumchafua bure baba mtu!. What has baba mtu got to do with kauli za mtoto wake ambaye ni mtu mzima anayejitegemea?!.
P
Kumbe huyu dogo ni kiazi mbatata kiasi hikiNisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Wewe ndo mjinga. Muziki wa JPM umesukumwa kwa CHADEMA kiaina!!Huyu jamaa bado mjinga... Anashindwa soma alama za nyakati.
Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Hata yakiwa 'kawaida", kiongozi anayejiamini, na mkweli, mwenye 'conviction' ya anayoyaamini na kuyasimamia hawezi kuzuwiwa na njama hafifu kama hizo.Kwenye siasa za kusaka madaraka hayo ni mambo ya kawaida sana.
HahahahHuko chadema unaweza mfabanisha na nani?