Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa


Pole sana kwa kuwachukia waarabu, jiangalie hapo ulipo, una maendeleo gani! Unaishi vipi na watu! Utapata jibu
 
Ishmail hakuwa mwarabu babake ni mkanaan tuanzie hapo.
Na hata ukitaka kutrace race ya Ibrahim utaitrace kwa wakurd zaid ya waarabu.
Nuhu hakuwa nabii.
Kwa mujibu wa maandiko unabii umeanzia kwa Musa ukaishia kwa Yohana mbatizaji.
Shughulisha ubongo wako kusoma
 
Mbongo bhana! Yaani akizungumza kitu anajiona anajua na kumkashifu mwenzake! Haina shida, hii ndiyo hulka ya mbongo!

Kwa hiyo Ibrahim akiwa Patriach ndiyo hawezi kuwa prophet?

Kama alikiwa patriach kama unavyodai alikuwa anazungumzaje na Mungu? Na alikuwa anazungumza na Mungu yeye ni kama nani?
 
Nabii ni nani na kazi yake ni nini?
 
Kati ya hao wore uliowataja hakuna nabii hapo Nyie hata Adam mnamwita nabii!
Hatari sana
 
Nabii ni nani na k

In summary, the roles and responsibilities of prophets in the Old Testament were diverse and complex. They were God's messengers, covenant enforcers, social critics, visionaries, and intercessors. Their ministry was marked by a deep commitment to God's purposes and a willingness to endure suffering for the sake of the truth. The prophetic tradition continues to inspire and challenge believers today, calling us to a deeper understanding of God's will and a more faithful response to His call.
 
Yaani ni kero
 
ndio, hakuwa malaika, alikuwa na madhaifu, ila Mungu alikuja kumhesabia haki kwa imani aliyokuwa nayo. Mungu huwa anasamehe.
Sasa utachaguliwaje kama mfano wa kusimamia na kufundisha maagizo ya Mungu hali ya kuwa wewe mwenyewe yanakushinda?

Yaani Mungu anamwambia Nabii ielimishe jamii iliyokuzunguka wasiwe wezi, halafu Nabii huyo huyo anaiba! Waambie uzinifu haufai halafu Nabii huyo huyo anazini! Usiue halafu Nabii huyo huyo anaua!

Kuna mantiki gani ya Mungu kumtuma Nabii na kuwa mfano bora kwa jamii kwa yale aliyoaambiwa ayafikishe hali ya kuwa Nabii mwenyewe yanamshinda?

Yaani watu watamchukulia Mungu kinamna gani yaani?
 
Mbona tunaambiwa uislam aliuanzisha Muhammad S A W?
Sasa which is which?
Kwa imani ya kiislamu, mitume na manabii wote wapo chini ya kambi moja ya Mungu, wote wapo chini ya uangalizi mmoja na wote wameletwa kwa binadamu kwa kazi moja na hao mitume hawajatofautiana kufikisha ujumbe wao waliyokuja nao kutoka kwa Mungu.

Hivyo hiyo kazi ilikuwa ya kupokezana kijiti, kaanza Adam kuielimisha familia yake mpaka jamii ilivyokuwa kubwa na watu kutapakaa kila mahali.

Na maana ya Islam kwa mujibu wa uislam ni kujisalimisha mbele ya sheria za Mungu.
 
Najua vyema mkuu.
Nikimuuliza huyo aliesema Ibrahim ndio ameanzisha dini ya uislamu wakati kila siku tukisema humu kuwa uislamu upo kuanzia Nabii Adam tunaambiwa uislam kauanzisha Muhammad S.A.W
Sasa leo nakutana na huyu bi dada anasema uislamu kaja nao Ibrahim
Ndio nasubiri jibu lake mkuu
 
Nimekuelewa madam!
 
Ukristo ni kazi ya mikono ya Shetani 666 na ndio maana kazi yenu ni kutukana manabii wa Mungu

Hivi Huwa hamjiulizi Kwa Nini waislam hawawatukani manabii ?

Wewe na wagalatia wenzanko wete mna laana ya Mungu Kwa sababu mnamtuka nabii Ibrahim

Mwanzo 12:3
nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…