Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Steve au yeriko?
 
Andrew Mzee atawahujumu vipi watoto wa Shule ya Msingi
 
Usifanye mchezo na harakati za kudai uhuru, watafute wazee wa Dar es Salaam wakwambie pilika walizozifanya...

Vingine sio vya kuandika sababu kuna watu hawaamini mambo meusi...
Mohamed Said tueleze hicho kilichofanywa na wazee wa Dar es salaam.
 
🀣
Siijawahi kumsikia kabisa Mkuu, niliopata kuwasikia ni
  1. Makongoro
  2. Madaraka
  3. Rose
  4. John (kama sijakosea)
Na huyu pia. Anaitwa Andrew. Watu wanaokaa Msasani hasa miaka ya nyuma wanamjua sana kwani ni maarufu sana maeneo hayo. Haya maneno na watu na mtu mzuri sana. Msomi mzuri. Ila ndiyo hivyo kuna wakati anakuwa kama kuna nati imekatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…