Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Hadi Makongoro analelewa na mama Maria? Sasa pesa za U RC anapeleka wapiii?
 
Ni yeye mwenyewe. Akilewaga anaenda kaburini kwa Baba yake kufanya vurugu na kumuuliza kwanini Baba umetuacha fukara ilhali Liz na Abdul wanakula maisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo nimecheka sana, ila Nyerere uzalendo wake ulizidi, ndo kuacha watoto mafukara aaaah.

Nayo serikali kwann isiwawekee mazingira bora hawa watoto wa baba wa Taifa.
 
Asee mani una harakati nyingi ila nyingi zinaishia kama yule pimbi wa sani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo nimecheka sana, ila Nyerere uzalendo wake ulizidi, ndo kuacha watoto mafukara aaaah.

Nayo serikali kwann isiwawekee mazingira bora hawa watoto wa baba wa Taifa.
Nyerere aliwasomesha wote na kazi walipata wote.kama watoto wa watanzania wengine

Sasa ulitaka Nyerere awafanyie nini tena jamani? Au watanzania tuwafanyie nini cha ziada? Waliopigania uhuru ni wengi na wana watoto wao lakini hawasumbui na wansjitegemea baada ya kusoma na kuajiriwa

Hakuna mtoto wa Nyerere aliyewahi kukosa ajira
 
mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka
Huwa awashauri chadema kumtreat tundu lisu hivyo hivyo. Ni ndugu yetu, lakini mwezi ukiwa kona anaweza kuropoka kitu chochote mpaka mkashangaa.
 
Mkuu
P
Vipi deo kisandu anahitaji nni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…