Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?



Shida yako ni uropokaji ata ukipewa information uwezi ona madhara yake.

Haya kwa sababu unawajua sana embu tuelezee source ya utajiri wake hizo Megawatts 20 wanazotaka kuwekeza huko ‘Nyowa District’ gharama yake wataalamu wanatuambia ni kama $20million, give or take.

Bado ujazungumzia gharama za kuagiza, kusafirisha hadi Uganda na kufunga hiyo mitambo si ajabu ikafika $25 million; tueleze hizo hela zinatoka wapi.

Acha kudhalilisha utu wako, it’s OK kutetea mambo ya CCM, ila huko kujipendekeza na kutetea majizi katika mambo yao Binafsi unatia aibu; sema na njaa zako sio ushushe utu wako hivyo.

Hata hao viongozi wanaopiga serikalini awawezi tetea upuuzi huo, seuse unaeshinda hapa na bundle la kuunga unga.
 
Wewe ndo hujui kingereza. Endelea kulamba miguu ya Samia
 
Acha kubishana ma walamba makalio ya wakubwa hawanaga akili hao
 
Mi naona sawa ili mradi auzi nchi bossy hivi ingekuwa wewe unahiyo fulsa hutoweka watoto na ndugu zako unataka awekwe nani sasa maisha nikuangalia boriti lako mie ingekuwa mie naweka hadi wasioona kwenye wizara Ya walemavu .

Maisha haya nikuenjoy maisha yako nawanaokuzunguka nakuwapa familia na waliokusitiri wadhifa mbali mbali ukitoka nani atampa mwanao ajulikane .

Kama wewe unampa watu wengine fulsa unawacha familia yako inateseka shame on you mtoa mada kabisa yaani
 
Nasikitika hadi sasa muuliza swali hajapata jibu la swali lake.

Watu wamekalia kutetea Chama na Utawala, hawajali tena maslahi ya Nchi.

Ingekuwa mawazo ya Watawala wa miaka hii angekuwa nayo Mwl. Nyerere basi angeshauza rasilimali zote za Nchi.

Mungu aendelee kumrehemu yule Mzee, alitanguliza maslahi ya Nchi mbele kuliko maslahi yake Binafsi.

Ndiyo maana hadi anafariki hujamsikia Mtoto wake hata mmoja ana Ukwasi licha ya Baba yao kuongoza Nchi hii miaka 24 🙌
 
Ujumbe sawa. imeandikwa ujumbe wa kampuni fulani au ujumbe wa Tanzania?
Kuna shida gani ikiandiwa ujumbe kutoka Tanzania?

Hiyo ni lugha tu na maamuzi ya mwandishi. Sio hoja ya msingi. Kama una swali nenda Kampala kamuulize Museveni
 
Ahsante kwa ufafanuzi. Tatizo la Wabongo eti ukiwa mtoto wa Rais au Waziri unatakiwa uonekane maskini maskini huna kitu hapo ndio wanaridhika. Wajinga sana!
 
Kwa hiyo mtoto wajo kutokuwa na ukwasi ndo sifa ya uongozi?

Nyie washamba na maskini ndo mmefanya nchi yetu kuwa nyuma sana na mawazo yenu mfu hayo
 
Sasa hayo maswali yako sisi kama Tanzania yanatuhusu nini?

Si muende mkamuulize Museveni?

Yaani how comes watanzania tusumbuliwe na tweet ya museveni inayohusu wawekezaji wanaoenda kuwekeza Uganda?
Tulia ww.

Nimekupa uchague speculation gani Unataka. Nishasema ni Fupa tu. Hata hivyo unachokifanya hapa ni kubadilisha hoja na mada husika.
Pameulizwa(amedai) kama Raisi amevunja katiba? Sasa kwavile maudhui hayajatosheleza ushahidi wa madai hayo, siwezi nikaongelea hilo, however, kuhusu
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
.....Lijibiwe.

au na hilo akaulizwe M7?
 
Kuna shida gani ikiandiwa ujumbe kutoka Tanzania?

Hiyo ni lugha tu na maamuzi ya mwandishi. Sio hoja ya msingi. Kama una swali nenda Kampala kamuulize Museveni
Shida ipo kwenye tafsiri. Kama ingekuwa ni ujumbe wa kampuni, ingetajwa hiyo kampuni pamoja na cheo cha huyo mtoto wa Samia.
 
Museven anasema ameenda kama mwakilishi kiongozi wa ujumbe wa Serikali kuzungumzia masuala ya nishati ambayo yanafall wizara ya nishati. Kama yeye siyo kiongozi wa hiyo Wizara waseme kaenda kama nani huko serikalini
Tatizo ni lugha kama sio ushabiki mandazi.
 
Ccm wanavunja katiba na cha kuwafanya hamna
 
Kwa hiyo mtoto wajo kutokuwa na ukwasi ndo sifa ya uongozi?

Nyie washamba na maskini ndo mmefanya nchi yetu kuwa nyuma sana na mawazo yenu mfu hayo
Kwahiyo unabariki wizi wa Viongozi wetu Mkuu?

Hivi una kuwa Rais alafu baada ya utawala wako unamiliki bilioni kadhaa Benki, utasema umepata kwa mshahara gani?

Mkuu, please come to your sense, usihalalishe Ufisadi Mkuu
 
Kwahiyo unabariki wizi wa Viongozi wetu Mkuu?

Hivi una kuwa Rais alafu baada ya utawala wako unamiliki bilioni kadhaa Benki, utasema umepata kwa mshahara gani?

Mkuu, please come to your sense, usihalalishe Ufisadi Mkuu
Kuna wizi gani hapo?

Au unajiskia tu raha kutamka neno Wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…