Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Nani kakwambia kuwa mimi najipendekeza humu,kwa ushahidi upi,kwa hoja zipi. Unasema uongo sijui wa kuibwa hela ,unaweza kuweka huo ushahidi? Unaweza kuweka nyaraka kuthibitisha madai yako au mradi tu umejikurupukia huko na kuja hapa kuropoka uongo wako hapa?
What is a Solar Farm? Costs, Pros, and Cons Explained
Are solar farms a practical way to utilize solar? Find out everything you need to know about solar panel farms, how much they cost, and more.
Shida yako ni uropokaji ata ukipewa information uwezi ona madhara yake.
Haya kwa sababu unawajua sana embu tuelezee source ya utajiri wake hizo Megawatts 20 wanazotaka kuwekeza huko ‘Nyowa District’ gharama yake wataalamu wanatuambia ni kama $20million, give or take.
Bado ujazungumzia gharama za kuagiza, kusafirisha hadi Uganda na kufunga hiyo mitambo si ajabu ikafika $25 million; tueleze hizo hela zinatoka wapi.
Acha kudhalilisha utu wako, it’s OK kutetea mambo ya CCM, ila huko kujipendekeza na kutetea majizi katika mambo yao Binafsi unatia aibu; sema na njaa zako sio ushushe utu wako hivyo.
Hata hao viongozi wanaopiga serikalini awawezi tetea upuuzi huo, seuse unaeshinda hapa na bundle la kuunga unga.