Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Hizi ni speculations zako tu.

Unajuaje kama hana assets? Unajuaje kama hana business expertise? Umemzaa?

Acha roho mbaya na chuki. Mwenzako akipewa na wewe omba Mungu upewe.
Mkuu mbona kipindi cha Magufuli ulikuwa na roho mbaya na husda isiyo ya kawaida kwake,leo vipi?
 
Binafsi sioni tatizo. Sijaona sehemu yeyote kwamba anaiwakilisha TZ. Katumia connection ya Mama kufanikisha jambo lake.
Ndio maongezi yanapoanziaga. Kuwa hatuoni au tunajiondoa ufahamu kuwa kuna tatizo hapo, ila Baadae, tutajua konexion.
 
Ajabu sana juzi hapo rwanda kagame kamteua binti yake sipati picha uteuzi huo ungefanyika hapa nchini. Watu wana roho mbaya sana
Ni Roho mbaya sana Watanzania tunaendekeza
Leo hii Kijana wa Mama Samia hata kama ana talent flani , akionekana anashiriki serikalini wanaanza kusonya
Ni roho mbaya sana
Hawa hawa wanaolalamika Mbowe ni Mkwe wa Mtei , Mwanzilishi wa Chadema mbona hawalalamiki?
James Mbowe ni mtoto wa Mbowe na anashiriki hadi kamati kuu ya chadema anacheo gani James Mbowe?
Wahuni wakubwa hawa sio wakusikiliza
 
Swali muhimu kuliko yote, Museveni kakutana na "ujumbe wa watanzania" au "ujumbe wa serikali ya Tanzania"?
Amekutana na Mr. A.H.H.Ameir na Delegation yake kutoka Tanzania . πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Huyo jamaa hata kiingereza sina uhakika kama anajua.
 
Ya Mkwere na Prince
 
Bora wewe umesema Duniani kote. Wengine wanasema "only in Africa"

Wakupee maua. Kuwa ,ndivyo ilivyo.
 
Ngoja Faiza Foxy atakuja kufafanua
 
Nina mashaka na ukatoliki wako uliojinasibu nao humu, probably wewe ni mwislam.
Mimi ni mkatoliki ila sio mdini, sio mkatili na wala sina akili za kishamba. Mimi wala sio muislamu.

Mtu yeyote aliye kwenye hayo mambo lazima nitofautiane nae.
 
Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?

Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?


Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.


Wewe kama huna, huna tu.
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜‚
Huna huna
 
Mimi ni mkatoliki ila sio mdini, sio mkatili na wala sina akili za kishamba. Mimi wala sio muislamu.

Mtu yeyote aliye kwenye hayo mambo lazima nitofautiane nae.
Huo ukatoliki ni fake I'd kama I'd tunazotumia humu, viongozi wote wa kitaifa unaowapenda na kuwahusudu ni wanzako katika Imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…