Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Huo ukatoliki ni fake I'd kama I'd tunazotumia humu, viongozi wote wa kitaifa unaowapenda na kuwahusudu ni wanzako katika Imani.
Mimi ni mkristo ila sifichi. Nawakubali sana waislamu. Ni waaminifu na wana roho nzuri sana kuliko wakristo wenzetu. Wakristo wenzetu ni wanafiki sana na wengi wana roho mbaya.

Nilitofautiana na Magufuli kwa sababu ya tabia zake na sera zake. Mkapa ninamkubali hadi kesho. Au mkapa nae alikuwa muislamu?
 
Kwenda huko na ushamba wako kwa hiyo ulitaka yeye afanye kazi kwa juhudi ,maarifa na bidii ili aje akugawie wewe iliyekaa hapo kwa kubweteka tu kama mtungi wa maji? Fanya kazi upate hela na siyo kuwaonea wivu wa kichawi walio navyo.
 
Kumbe wewe unavyojikomba hivyo ndiyo kufanya kazi?
 
Shida ya watanzania tulishagawika. Hata baya litokee bado watu wataliunga mkono kisa upande wake. Ndio maana Leo bandari inabinafsishwa huku wananchi wakilimwa tozo, na hakuna umoja maana wananchi wamegawanyika.
Upo sahihi kabisa. Wapo wanaofaidika na mgawanyiko huu. Walaaniwe, funga buti, na uwalaani kwa nguvu zote.
 
Sioni jambo la ajabu hapa
Tungemuona Mdude Chadema tungehoji anaaandamana huko?
Lakini huyu kijana ana tatizo gani mpaka watu washangae
 
Tukiwaambia Tz kuna Royal Family mnakataa, haya kwa macho yenu mmemuona mwana mfalme.
 
Hao wote uliowatolea mfano sio watu wazuri wa kuigwa katika uongozi uliostaarabika na ambao ni kwa maslahi ya raia walio wengi.
 
Hao wote uliowatolea mfano sio watu wazuri wa kuigwa katika uongozi uliostaarabika na ambao ni kwa maslahi ya raia walio wengi.
Nieleze Kijana na ubaya gani?
anakaa na Rais anasikia na kujua vitu vingi,ni mtanzania kama wewe na mimi kwa nini asimsaidie Rais
Kwa nini uone ni sahihi kwa mtu mwingine kuhusika lakini sio yeye ?
Ana jinai gani inamkabili mpaka asimsaidie Rais?
Hii hoja haina mashiko
 
Huyo jamaa hata kiingereza sina uhakika kama anajua.
Hizi ni personal attacks ambazo hazina maana
aje mtu asema kijana anatatizo la akili tutamwelewa ,lakini vinginevyo sioni tatizo lolote
 
Tukiwaambia Tz kuna Royal Family mnakataa, haya kwa macho yenu mmemuona mwana mfalme.
🤣🤣Anamsaidia bi mkubwa kazi
Ila manake keshajizeekea huenda hata makabrasha mengi yeye ndo humpa ayasome,afu amwelezee🤣🤣🤣kijana karithi urahisi wa bi mdashi, Zanzibar hoyeee
 
🤣🤣Anamsaidia bi mkubwa kazi
Ila manake keshajizeekea huenda hata makabrasha mengi yeye ndo humpa ayasome,afu amwelezee🤣🤣🤣kijana karithi urahisi wa bi mdashi, Zanzibar hoyeee
Kijana wa hovyo sana wewe ,ngoja tukuache ,
Kamgoogle Jared Kushner
 
Kijana wa hovyo sana wewe ,ngoja tukuache ,
Kamgoogle Jared Kushner
We yule Bibi kashajichokea
Angekuwa mzungu sawa,wanakuwaga wasomi na haiba ya uongoz Kama kina Angela Merkel, Hillary Clinton and the like
Lakin, mwanamke,mweusi,Tena mswahili,lol umri ule wenzie zenziber wanalea wajukuu upenuni wakisikiliza twaarabu taratiiibu
 
Matanganyika yamelala tu nchi inapolwa Kila Leo.Khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…