Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Unafumuliwa
 
Urais wa samia ni biashara tupu. Kwa asili zanzibar the elite biashara ndio tegemeo lao kubwa.
Kwa vyovyote familia na wazanzibari watakua wanatumia fursa kwa kumshirikisha au kutumia jina lake bila kumshitikisha kupata fursa za biashara.
Kama desturi kwenye biashara hakuna cha uzalendo au kujali wengine. Ndio maana tunaona haya ya kutaka kuuza bandari za bara kwa miliki ya dubai. Tunasema kuuza maana masharti hayana tija kwa tanzania. Samia inabidi awe macho ni rais pekee anaonyesha uroho mkubwa wa mali. Atunze heshima yake maana anaweza kuligawa taifa na kuingiza kwenye mgogoro. Ajue sio kweli biashara huru ndio ufunguo wa maendeleo wa nchi. Biashars huru bila udhibiti inaleta maendeo ya watu binafsi sio nchi. Hajakua rais kuwapa utajiri jamaa zake ila kuongoza nchi kupata maendeleo.
 

Kwani ni vibaya mtoto akitumwa na mzazi wake kwenda kuongea na mwanahisa mwenzake kwenye haya mambo yanayoendelea ya uwekezaji?

Ndugai alisema hii nchi inauza, akapigwa pin. Kipindi hiki tutaona na kusikia mengi sana.
 
Waswahili wakiingia ikulu huwa panakuwepo mambo ya hovyo na ya aibu sana kwa taifa, wana vichwa vyepesi kupitiliza.
Alifanya hivyo Bush akamrithisha mwanae.
Alifanya hivyo Kenyata akamrithisha mwanae.
Alifanya hivyo Mwinyi.
Kafanya hivyo JK na Samia na mwisho wa siku watoto wao ndio watakaokuja kuwa juu.
Sasa wewe baki na akili za Nyerere kuwanyima wanae fursa na sasa hv Makongoro analalama mbele ya Mwinyi eti mwezangu.....
 
Ishu binafsi ndio ajafi
Kama ni ishu binafsi kwa nini ajadili miradi ya kitaifa kati ya Uganda na Tanganyika?
 
Kwani ni vibaya mtoto akitumwa na mzazi wake kwenda kuongea na mwanahisa mwenzake kwenye haya mambo yanayoendelea ya uwekezaji?

Ndugai alisema hii nchi inauza, akapigwa pin. Kipindi hiki tutaona na kusikia mengi sana.
Popote ukisema ukweli unachukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…