Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Tanganyika imekuwa shamba la kuchuma kwa wazanzibari.mkwe kalamba uwaziri,Dada yake kalamba uwazili na huyu naye mtoto anawakilisha ujumbe wa wizara ya nishati Tanzania nchini Uganda?mda so mrefu atateuliwa kuwa mkuu wa majeshi maana ameenda kupata uzoefu kwa mhoozi kainerugaba wa zabanga
 
Lazima tufike mahali hizi fikra za kijamaa zife kabisa. Huwezi kukwepa uongezaji wa idadi kubwa ya wafanyabiashara iwapo unataka kuongeza wigo wa walipa kodi.

Mawazo na hulka za kijamaa hutupeleka kwenye kukua tukitawaliwa na akili na hulka za kichoyo. Alisema anakwenda kuifungua nchi na haiwezi kufunguliwa huku wenyeji tukiongozwa na akili za kunyoosheana vidole na kuanza maneno maneno wakati baadhi yetu wakizitumia hizo fursa zinazojitokeza.
 
Acha uongo wako were! eti.. (Never on earth 😁😁😁)
 

Enzi za wa msoga mlihoji ya mtoto wake aliyokuwa anayafanya ?
 
Ma Africa Kama mazuzu yaone hapo yalivo
 
Muda utaongea, hata hili sakata la DP World ni mambo tu yamevuja bahati mbaya...
 
Kua mtoto wa Rais haizuii kufanya biashara, huyu kijana ni mfanyabiashara kabla hata mama yake hajawa Rais.. na hakuna mahala hapo imeandikwa kwamba ameenda huko Uganda kwa niaba ya Tanzania... Huyo ni mwekezaji anamtafuta fursa uganda

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Ila tuache utani..ushabiki pembeni .tuendako anaepajua Ni Mungu tu alietuumba
 

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?

Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?


Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.


Wewe kama huna, huna tu.
Tanzania ina wajinga wengi mmojawapo ni wewe..
Huoni conflict of interest kwenye nishati hapo?
Huoni kuna uwezekano bwawa la nyerere na vyanzo vingine vya umeme kuhujumiwa ili prince Dully auze umeme wake?
Tz ina wajinga wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…