Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tufike mahali hizi fikra za kijamaa zife kabisa. Huwezi kukwepa uongezaji wa idadi kubwa ya wafanyabiashara iwapo unataka kuongeza wigo wa walipa kodi.Urais wa samia ni biashara tupu. Kwa asili zanzibar the elite biashara ndio tegemeo lao kubwa.
Kwa vyovyote familia na wazanzibari watakua wanatumia fursa kwa kumshirikisha au kutumia jina lake bila kumshitikisha kupata fursa za biashara.
Kama desturi kwenye biashara hakuna cha uzalendo au kujali wengine. Ndio maana tunaona haya ya kutaka kuuza bandari za bara kwa miliki ya dubai. Tunasema kuuza maana masharti hayana tija kwa tanzania. Samia inabidi awe macho ni rais pekee anaonyesha uroho mkubwa wa mali. Atunze heshima yake maana anaweza kuligawa taifa na kuingiza kwenye mgogoro. Ajue sio kweli biashara huru ndio ufunguo wa maendeleo wa nchi. Biashars huru bila udhibiti inaleta maendeo ya watu binafsi sio nchi. Hajakua rais kuwapa utajiri jamaa zake ila kuongoza nchi kupata maendeleo.
Acha uongo wako were! eti.. (Never on earth 😁😁😁)Nchi yeyote ile Mhe. Rais anatakiwa awe very clean(isiyobishaniwa) na yeyote lakini kwa hili kama ni mtoto wake heshima yake imepungua kwa kasi sana. Kwa nini ujiingize kwenye mambo ambayo unajua yatakuchafua?. Never on earth sijaona tukio la ajabu kama hili.
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni, tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?
NB: Imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.
Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Ma Africa Kama mazuzu yaone hapo yalivoRais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni, tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?
NB: Imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.
Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
😅Hili nalo la ni ajenda tayari, kuzunguka nchi nzima kulitangaza.
Yah right. Ufisadi ni kawaida...!!😄😄 Kawaida sana
Yani mm kila hela za mama angu watanzania wanawakaKwani wizara imetajwa kwenye post ya Museven?
Kivipi?
Unahama sasa!
Sio jambo lolote, sema jambo la kitaifa!
Conflict of interest inahusika!
Tujuze shughuli na nyadhifa zake kabla ya mama'ake kuwa makamu, kisha raisi.
Halafu utujuze ukitaka kufanya biashara na maraisi wa nchi nyingine kama ulivyotanabaisha, TUFANYAJE na sisi?
Tanzania ina wajinga wengi mmojawapo ni wewe...Binafsi sioni tatizo. Sijaona sehemu yeyote kwamba anaiwakilisha TZ. Katumia connection ya Mama kufanikisha jambo lake.
Tanzania ina wajinga wengi mmojawapo ni wewe..Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?
Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?
Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.
Wewe kama huna, huna tu.