Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.

Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.

Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!

Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!

Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!

Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!

View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Huyu dogo ni ndugu moja na Ridhiwani?
 
Shida ya watanzania tulishagawika. Hata baya litokee bado watu wataliunga mkono kisa upande wake. Ndio maana Leo bandari inabinafsishwa huku wananchi wakilimwa tozo, na hakuna umoja maana wananchi wamegawanyika.
Hakuna wananchi hapo ni nyumbu kama alivyowata Mkapa mpaka akawaandikia kitabu cha jinsi alivyo waibia kama ngedere na nyie mkamkenulia meno kama nyani.That’s the anatomy of a shithole country
 
Masaka–Mutukula–Mwanza High Voltage Power line, mradi huu upo chini ya wizara zipi katika serikali za nchi zipi?
Kwani kila mradi lazima uwe designed na Serikali?

Mwekezaji au Mfanyabiashara hawezi design mradi kwa fursa anazoziona?

Acheni akili za kishamba na kimaskini!
 
Unapayuukaa...

Aibu..

Ukivuliwa nguo chutama. Mmeumbuka.
Amevuliwaje nguo?

Tangu lini imekuwa kosa kwa mtoto wa Rais kwenda nchi ya jirani kuwekeza katika uzalishaji wa Umeme wa Jua?

Ilo kosa limeandikwa wapi?
 
Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?

Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?

Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.

Wewe kama huna, huna tu.
Mbona unaamini ule ujinga wa Mwamedi kuwa jua linazama kwenye tope ambao ni ujinga kuliko huu!?
 
Kwani kila mradi lazima uwe designed na Serikali?

Mwekezaji au Mfanyabiashara hawezi design mradi kwa fursa anazoziona?

Acheni akili za kishamba na kimaskini!
Mkuu Lord denning kwani kwenye post yangu kuna element yoyote inayotafsiri chuki ama lengo lilikuwa kukuelewesha kitu kidogo sana (1+1 =2) ulichoshindwa kukielewa using a very simple mind. Alichokiandika museven hata ukimpelekea english medium prepo II ( bado hajaanza standard 1) atakuelewesha vizuri mno tu kama tatizo kwako ni English. Yani wewe kila anayepingana nawe ana dhiki kama wewe, inferiority yako imedhihirisha una dhiki iliyotukuka na ushamba wa hali ya juu mno.
 
Hii ni aibu sana kwa taifa! Kijana kwenda kuzungumzia projects za nchi za nishati wakati yeye sio waziri wa nishati Wala makamu wa Rais kiukweli haiko poa, kama angekuwa tu kaenda kumpa hi Mu7 kishkaji hakuna kosa!

Nani atabisha kuwa viatu vya Magu ni oversize!

Hizi ndio effects za zali la mentali na si matokeo ya sanduku la kura! Africa Bado haijawa tayari kwa Rais mwanamke kwa mtazamo wangu!

Mi naamini Bimkubwa hakujiandaa kuongoza wadanganyika ilitokea tu kwahiyo kaona liwalo na liwe! Yuko juu ya Sheria!mtamfanya Nini! Dogo Kawa waziri wa nishati!! Wapi Maropu!!

Haya Sasa na wakike nao kama anao waanze safari za kuwakilisha nchi!

Hivi bongo hatuna Balozi pale Uganda?
 
Naona umekoroga na kukurupuka tu hapa.umeandika vimaneno maneno tu bila kuweka ushahidi wa ukiongeacho,wapi katiba imevunjwa,wapi katiba ya nchi inamnyima uhuru au haki mtoto wa Rais kuwa ndani ya serikali au kufanya shughuli yoyote ya kiuchumi,hujaeleza kama ni wapi ambapo uwepo wake kule umeleta athari yoyote kwa Taifa kiuchumi,kisiasa,kiusalama , kidiplomasia n.k. na ni kwa namna ipi. Kama huna ya kuandika ni bora kufunga mdomo wako na kutulia Tuu.
 
Back
Top Bottom