Kama MagufuliAnapiga deal za, familia,
Kama Hunter Biden, alivyokuwa anapiga deals Baba kule Ukraine!
Huyu mama, ni, mwizi, kama mzee wa msoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama MagufuliAnapiga deal za, familia,
Kama Hunter Biden, alivyokuwa anapiga deals Baba kule Ukraine!
Huyu mama, ni, mwizi, kama mzee wa msoga
Amevunjaje? Kifungu kipi cha Katiba?Haijavunjwa wapi wewe CHAWA wa mama?
Wapi kasema ameeenda kama mwakilishi wa Serikali?
Masaka–Mutukula–Mwanza High Voltage Power line, mradi huu upo chini ya wizara zipi katika serikali za nchi zipi?Kama anataka kuwekeza kwenye mradi binafsi wa kuleta umeme mwanza shida iko wapi?
Huyu dogo ni ndugu moja na Ridhiwani?Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu,ana cheo gani serikalini?!!
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni,tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?!!
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?!!
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Hakuna wananchi hapo ni nyumbu kama alivyowata Mkapa mpaka akawaandikia kitabu cha jinsi alivyo waibia kama ngedere na nyie mkamkenulia meno kama nyani.That’s the anatomy of a shithole countryShida ya watanzania tulishagawika. Hata baya litokee bado watu wataliunga mkono kisa upande wake. Ndio maana Leo bandari inabinafsishwa huku wananchi wakilimwa tozo, na hakuna umoja maana wananchi wamegawanyika.
Mnufaika wa mfumo takataka..Amevunjaje? Kifungu kipi cha Katiba?
Kwani kila mradi lazima uwe designed na Serikali?Masaka–Mutukula–Mwanza High Voltage Power line, mradi huu upo chini ya wizara zipi katika serikali za nchi zipi?
Cheo chake ni mtoto wa raisi baaasFaizaFoxy huyu mtoto wa SSH ni nani huko wizara ya nishati/serikalini?
Kivipi?Mnufaika wa mfumo takataka..
Usihofu. Watu wa aina yako ni halali kabisa kutoona matatizo kwenye jambo kama hili.Binafsi sioni tatizo. Sijaona sehemu yeyote kwamba anaiwakilisha TZ. Katumia connection ya Mama kufanikisha jambo lake.
Amevuliwaje nguo?Unapayuukaa...
Aibu..
Ukivuliwa nguo chutama. Mmeumbuka.
Kivipi?Nepotism 🙌🏾
Mbona unaamini ule ujinga wa Mwamedi kuwa jua linazama kwenye tope ambao ni ujinga kuliko huu!?Sasa katiba ipi ivunjwe? Kwani hana haki ya kwenda Uganda? Kwani uliambiwa kaiwakilisha serikali kwenye jambo lipi?
Kama kachukuliwa kwa mkataba fulani?
Huu mwengine ni ujinga hata kuujadili.
Wewe kama huna, huna tu.
Kubwa zima linaandika ''hujalizika''. Idiot!Mahakama imeshaamua na kutoa uamuzi,kwa hiyo kama hujalizika nenda kakate rufaa na siyo kuja kupiga makelele yako humu jukwaani. Hapa siyo mahakamani
Zimeondolewa kbsa wamekuwa wakijiuunga TBC one live hotuba tupa kuleNdomana HOTUBA za mwl Nyerere TBC zimeadimika skuhizi.
Mkuu Lord denning kwani kwenye post yangu kuna element yoyote inayotafsiri chuki ama lengo lilikuwa kukuelewesha kitu kidogo sana (1+1 =2) ulichoshindwa kukielewa using a very simple mind. Alichokiandika museven hata ukimpelekea english medium prepo II ( bado hajaanza standard 1) atakuelewesha vizuri mno tu kama tatizo kwako ni English. Yani wewe kila anayepingana nawe ana dhiki kama wewe, inferiority yako imedhihirisha una dhiki iliyotukuka na ushamba wa hali ya juu mno.Kwani kila mradi lazima uwe designed na Serikali?
Mwekezaji au Mfanyabiashara hawezi design mradi kwa fursa anazoziona?
Acheni akili za kishamba na kimaskini!
Tuliza akili maana naona umeshapaniki au tayari umeshazidiwa na pombe kichwani mwako uliyokunywa na manjaa yako Tumboni.Kubwa zima linaandika ''hujalizika''. Idiot!
Naona umekoroga na kukurupuka tu hapa.umeandika vimaneno maneno tu bila kuweka ushahidi wa ukiongeacho,wapi katiba imevunjwa,wapi katiba ya nchi inamnyima uhuru au haki mtoto wa Rais kuwa ndani ya serikali au kufanya shughuli yoyote ya kiuchumi,hujaeleza kama ni wapi ambapo uwepo wake kule umeleta athari yoyote kwa Taifa kiuchumi,kisiasa,kiusalama , kidiplomasia n.k. na ni kwa namna ipi. Kama huna ya kuandika ni bora kufunga mdomo wako na kutulia Tuu.Hii ni aibu sana kwa taifa! Kijana kwenda kuzungumzia projects za nchi za nishati wakati yeye sio waziri wa nishati Wala makamu wa Rais kiukweli haiko poa, kama angekuwa tu kaenda kumpa hi Mu7 kishkaji hakuna kosa!
Nani atabisha kuwa viatu vya Magu ni oversize!
Hizi ndio effects za zali la mentali na si matokeo ya sanduku la kura! Africa Bado haijawa tayari kwa Rais mwanamke kwa mtazamo wangu!
Mi naamini Bimkubwa hakujiandaa kuongoza wadanganyika ilitokea tu kwahiyo kaona liwalo na liwe! Yuko juu ya Sheria!mtamfanya Nini! Dogo Kawa waziri wa nishati!! Wapi Maropu!!
Haya Sasa na wakike nao kama anao waanze safari za kuwakilisha nchi!
Hivi bongo hatuna Balozi pale Uganda?