TABIA hizo za ukuwadi Si njema Kwa mtoto wa kiume,Unahitaji ridhaa kwenda kufanya mazungumzo ya uwekezaji wako mahala fulani? Imeandikwa wapi?
Unaaibisha wazazi wako!!!
Wewe unaweza kwenda hapo Kenya ukapokelewa IKULU kama mjumbe Kutoka Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TABIA hizo za ukuwadi Si njema Kwa mtoto wa kiume,Unahitaji ridhaa kwenda kufanya mazungumzo ya uwekezaji wako mahala fulani? Imeandikwa wapi?
Jibu swali acha kutoka nje ya madaTABIA hizo za ukuwadi Si njema Kwa mtoto wa kiume,
Unaaibisha wazazi wako!!!
Wewe unaweza kwenda hapo Kenya ukapokelewa IKULU kama mjumbe Kutoka Tanzania?
Kwamba walikuwa hawafahamiki? Au wewe ndio uliwajulia paleAfu Magu asisingiziwe, watoto wa Magu hawakujulikana Hadi ulipotokea msiba!!!
Jikite kwenye madaTrump alifanya Kaz na mkwe na ivanka Trump ikulu ya white house
Sasa cjaona kosa la Abdul hafidh Hadi sasa
Kam kichwani Ni mzima bas ateuliwe hata ukurugenzi wa mawasilono ikulu
Wewe unaweza mtuma mwanao akuwakilishe kikao Cha ofisi uliyoajiriwa Kwa kigezo kuwa ni mwanao wa kumzaa?Kwamba walikuwa hawafahamiki? Au wewe ndio uliwajulia pale
Huo uwekezaji kauanza lini?Conflict of Interest kwenye nini?
Huyo ni mwekezaji yupo Uganda kuomba kibali cha mradi wake. Mradi wake umepewa kibali na Rais wa Uganda tena nchini Uganda.
Conflict of Interest ipo wapi? Au unazungumza tu maneno hujui maana yake?
Wazungu wakisukuma wwakiingia ikulu wauaji na wezi kwenye account za watzWaswahili wakiingia ikulu huwa panakuwepo mambo ya hovyo na ya aibu sana kwa taifa, wana vichwa vyepesi kupitiliza.
Nilishakwambia sitaki mazoea na mashoga!! Usitafute nafasi kupitia sisi we mnyambi.Ulitaka akae amechuchumaa ? Mawazo mengine ni ya kijinga sana
Hakuna mada nyie ni washenziJikite kwenye mada
Mmbwa wwUnafumuliwa
Wewe inakuhusu nini?Huo uwekezaji kauanza lini?
Kwa hiyo kwako Ikulu kugeuzwa pango la Walanguzi ni sawa siyo??amevunja ibara ipi ya katiba yetu? hii nayo ni post? Ulitaka asiajiriwe? Hivi watu mnawaza kwa kutumia viuongo gani? Hujui mtoto wa Museveni ni mkuu wa majeshi kule Uganda? Na je Rwanda unafahamu watoto wa Kagame wako ktk nafasi zipi. Mtoto wa rais ni dhambi kufanya kazi? Sijawahi ona mtu mpumbavu km wewe.
Tangu awamu ya kwanza enzi za Julius Nyerere unaibiwa mpaka leo hii unatakiwa uwe umeshazoea kuibiwa.Kwa hiyo Watanzania kuibiwa ni kawaida tu , hivyo inabidi tuzoee tu?
Waswahili wanapokuwa watawala, familia nzima huwa ni wenye mamlaka.Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi.
Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini?
Kama taarifa hii isingetolewa na Mseveni, tungetangaziwa na ofisi gani huku Tanzannia?
Swali la kujiuliza pia,mambo mangapi mtoto huyu amekua ameyafanya kwa kutumia kodi za Taifa na pasi na taarifa kuwekwa wazi kwa umma?!!
Ni wazi kua mtoto huyu anafanya haya kwa ruksa ya Rais Samia ambae ni mzazi wake,je huu sio uvunjaji wa katiba?
NB: Imewahi kuandikwa tetesi kua kijana fulani amefungua ofisi Dubai kwenye kasri mojawapo na kua hata DP WORLD ni moja wapo ya mradi wake/wao na waarabu!!.
Kuhoji haya ni kwa nia njema,kama kijana ana kampuni zake za biashara iwekwe wazi Ila pia na wahusika wapime kama yanayofanywa yanatoa taswira hasi ama kua familia imekaa kibiashara tu?
View attachment 2715337View attachment 2715338View attachment 2715339
Amekukoseaje?Mama anatukosea sana. Sijui hichi kiti kina nini?? Mtu akikaa hapo hujitoa ufahamu kabisaa..
Lukuvi huyuhuyu?...
Ndivyo ilivyo mkuu na ndio maana unaona mtoto wa Abood alimuoa mtoto wa Lukuvi ,,
Inawezekana Rais Samia alimuombea Hafidh hilo shavu la kiuwekezaji.
Hiyo ipo Duniani kote.