Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Tatizo ni elimu lkn sasa wakati mwingine unakuta mpaka aliyemaliza chuo nae kama hajaenda shule tatizo watz wana makasiriko kutokana na wazazi wao hawakupambana miaka ya nyuma sasa leo hii watoto wao wana makasiriko anashindwa kumlaum baba ake Hizi familia zenye maisha mazuri kuna mmoja aliumia alisota,alipambana ndyo maana wanaishi vizuri na ww pambana leo ili familia iishi vizuri baadae huko isije lalamikia watu.ACHENI MAKASIRIKO
 
Kwani Rais ana mtoto mmoja tuu,

Jiulize kwa nini yeye tuu.

Kuna sababu zipo.
 
Asante naye kunyonya, mana damu yako ya kwenye matako nayo nyonya ndo inanifanya naishi


Fullstop, kwishaa
Ulipoandika kumtetea buduli nilidhani una akili, kumbe ni mbungila tu uliyeokotezwa ukakarishwa ya kuandika.
 
Fala wewe, Unaongea upuuzi, yaani sijui akili yako ipo sehemu gani ya mwili wako? Huyo kijana amesimamishwa na polisi akiingia airport akakaidi, halafu tunaambiwa tutii sheria bila shuruti. Kwa hiyo kwa akili yako Abdul yupo juu ya sheria? Ndiyo maana naona unatumia makal$$ kwenye kufikiri. Watu hawana shida na yeye kuendesha Royce Rolls, kinachoongea ni tabia za kipuuzi kama za watoto wa Saddam Hussein akina Uday na Qusay,kwani mbona viongozi wengi wamepita katika nchi yetu, lakini tumeona watoto wao hawajihusishi na ufisadi na uchezeaji wa pesa za umma, kama nchi ni yao peke yao.
Wananchi wana kila sababu ya kulalamika wakiona kuna mambo ambayo siyo ya kawaida yakiendelea kwenye nchi yetu. Hii nchi ni yetu sote na pia ina sheria na taratibu, lakini leo tunamuona dikteta anayewalipa vipesa viduchu ili muandike hapa JF. Tuongee sense, hii siyo nchi ya mfalme Samia au Malkia Samia na watoto wake na family yao, maana naona wamejisahau wanafanya vile wanavyotaka. Watu kama wewe ndiyo mnafanya nchi hii iendelee kuwa ya ovyo kupewa visenti kidogo ili mjisetiri huku matrilioni yakiibiwa halafu unaendelea kutetea.....SHAME ON YOU.
 
Tatizo abduli ndiyo mshauri mkuu wa dereva ndiyo maana wanamfatilia sana.mipango yote ya serikali lazima ipate idhini ya abduli pamoja na teuzi ndiyo maana wtz wazalendo lazima wamzungumzie
 
Umeshindwa kuhurumia ndugu zako masikini, ukamuhurumie mwizi!
 
Mkuu mjukuu wa bakhresa aliposti picha yuko kwenye majumba ya babu yake wakamvaa je na hizo ni Mali za taifa

Fullstop, kwishaaa
Hujanielewa,

Tafuta habari za mwanzo huyo mtoto wa mkulu, alianza kutajwatajwa kwenye inshu gani.
 
Kama pesa ipo chukua utumie ,muache ale vyake ni vile unatamani ila wazazi wako kajamba8.
Nilisha sema moja ya andiko langu jf ,piga na lala mbele wenda wengi hawakunielewa , ni mpogeze Abddul kwa upigaji ulio mzuri , nimtakie kila namna azidi kupiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…