Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Kubaka, kufisadi Mkuu una maana alishawahi kuwa serikalini Mkuu? kwanini msijiorganise mka mfungulia kesi mahakamani kama Ni kweli ana makosa? Alafu kesi ikikaushiwa ndo tuanze kupiga kelel, njia hii tunayo tumia si nzuri kiungwana.

Fullstop, kwishaa
Lissu aliletewa rushwa na kashindwa kumfungulia kesi ni sawa na kusema umfungulie kesi Rostam Aziz...kuna yule kada wa chadema aliye sema ni rafiki wa Abdul cha kushangaza urafiki wao ulikuwa ni kwenda kumpa rushwa lissu tu kwanini urafiki wao usiwe kufanikisha kuwajua walio muua kibao au ben saa 8 au mdude wa mbeya nk
 
Hao jiran zenu walioneaji wivu watu walopelekwa private school ilotoa mazuzu yanayoandika PEREKWA badala ya pelekwa?
 
Muandiko wa kidaktari Kuna watu wanaamini huko shule hawakfunzwa muandiko mzuri mkuu! Hili ni jukwaa na shughuli za kufanya siwezi kukulembea muandiko wewe ukiona huwezi soma si una nyamaza unapita kushoto mkuu, au umezoea kuchamba huwezi pitwa na jambo? Ukachuna

Fullstop, kwishaa
Ila aariff wee si ni chalii ya Chugga? Haya maneno unaporomosha utadhani ni msela wa Temeke.
 
Lissu aliletewa rushwa na kashindwa kumfungulia kesi ni sawa na kusema umfungulie kesi Rostam Aziz...kuna yule kada wa chadema aliye sema ni rafiki wa Abdul cha kushangaza urafiki wao ulikuwa ni kwenda kumpa rushwa lissu tu kwanini urafiki wao usiwe kufanikisha kuwajua walio muua kibao au ben saa 8 au mdude wa mbeya nk
Nisha kujibi vizuri hapo juu, mtoto wa Samia Hana mamlaka kuwa tafuta watekaji upo hapo? Dhumuni kwenda kwa lissu ni lissu mwenyewe alidai anadai serikali PESA, kijana akaona huenda ndo chanzo lissu kumsema mama yake damu nziyo kuliko maji kijana alienda KUMALIZA tofauti mama yake asisemwe, pia lissu aliingiza uzenji sasa siasa Gani hiyo si ubaguzi we ndo ungekua mtoto mama yako kufanyiea hivo ungejisikiaje? Au mkuki kwa nguruwe

Fullstop, kwishaaaa
 
Ila aariff wee si ni chalii ya Chugga? Haya maneno unaporomosha utadhani ni msela wa Temeke.
Napokea mtu anavo kuja jombaa sija tukana mtu sija shambulia mtu, natukanwa mi nifanyeje mkuu, NISIJIBU mashambulizi ilihali yamo ndani ya uwezo wangu?

Idd Amin dada alipo vamia Kagera Nyerere alitafuta suluhu kwa amani ila alivo ona kila anae mshirikisha hajali, akaona isIWE kesi, acha tuchezeshane atakae float atajisalimisha

Fullstop, kwishaaaa
 
Ningekua mtawala ningepiga marufuku kutetewa na watu wenye IQ ndogo kama mtoa mada .

Ukisema mamake yuko serikalini toka kitambo hlf ukiulizwa vp watoto wa Nyerere ambae uhuru umepatikania mikononi mwake utajibuje?
Kina Jesca na vi ist vyao Magu alikua rais akitokea kwenye usaidia fundi au?

Mi nahisi umetumwa kumchafua mama coz huwezi kumtetea mama yetu kipenzi kwa hoja zako hizi dhaifu.
Achia wenye akili wajaribu hilo zoezi.

Ccm hoyeeee🤣
 
Nisha kujibi vizuri hapo juu, mtoto wa Samia Hana mamlaka kuwa tafuta watekaji upo hapo? Dhumuni kwenda kwa lissu ni lissu mwenyewe alidai anadai serikali PESA, kijana akaona huenda ndo chanzo lissu kumsema mama yake damu nziyo kuliko maji kijana alienda KUMALIZA tofauti mama yake asisemwe, pia lissu aliingiza uzenji sasa siasa Gani hiyo si ubaguzi we ndo ungekua mtoto mama yako kufanyiea hivo ungejisikiaje? Au mkuki kwa nguruwe

Fullstop, kwishaaaa
Ulimsikiliza lissu alicho sema wewe moumbavu kwani huyo abdul ndiyo mlipa madeni wa serikali? 💩💩💩Lissu kasema wazi kuwa abdul alikuja kumshawishi kwa rushwa ila yeye lissu akamwambia mbona ana idai serikali mamilioni kwanini huyo abdul asimwambie mama yake amlipe pesa yake halali badala ya kumpa rushwa
 
Napokea mtu anavo kuja jombaa sija tukana mtu sija shambulia mtu, natukanwa mi nifanyeje mkuu, NISIJIBU mashambulizi ilihali yamo ndani ya uwezo wangu?

Idd Amin dada alipo vamia Kagera Nyerere alitafuta suluhu kwa amani ila alivo ona kila anae mshirikisha hajali, akaona isIWE kesi, acha tuchezeshane atakae float atajisalimisha

Fullstop, kwishaaaa
Hahaha
 
Ulimsikiliza lissu alicho sema wewe moumbavu kwani huyo abdul ndiyo mlipa madeni wa serikali? 💩💩💩Lissu kasema wazi kuwa abdul alikuja kumshawishi kwa rushwa ila yeye lissu akamwambia mbona ana idai serikali mamilioni kwanini huyo abdul asimwambie mama yake amlipe pesa yake halali badala ya kumpa rushwa
Una akili timamu? Mkuu nimesemeje hapo juu, kuwa huyo kijana alienda kiofisi au kwa shida binafsi? Yeye Hana mamlaka youote serikalini ashauri nini? Yeye kaenda kama mtoto kuumizwa na mama yake kisemwa vibaya we unamwambia unaidai serikali yeye kama nani ?

Ok sorry mkuu mdomo wa mpumbavi hulopoka popte naweza kuwa namuonea kukuelewesha NILICHO kiandika hata dakika Tano hazijaisha usha sahau

Wewe pimbi sasa alikwenda kufanya nini tuambie alifuata nini kwa lissu
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Hiyo ya shule iwe private au public ni uamuzi binafsi hakuna uhusiano na ubora wa elimu labda km unatangaza biashara kinamna. Mtu uko airport unapiga picha uipeleke wapi, na mamlaka inaruhusu? Hz sm zimekuwa bomu za kuangamiza watu
 
Ningekua mtawala ningepiga marufuku kutetewa na watu wenye IQ ndogo kama mtoa mada .

Ukisema mamake yuko serikalini toka kitambo hlf ukiulizwa vp watoto wa Nyerere ambae uhuru umepatikania mikononi mwake utajibuje?
Kina Jesca na vi ist vyao Magu alikua rais akitokea kwenye usaidia fundi au?

Mi nahisi umetumwa kumchafua mama coz huwezi kumtetea mama yetu kipenzi kwa hoja zako hizi dhaifu.
Achia wenye akili wajaribu hilo zoezi.

Ccm hoyeeee🤣
Una stress za maisha mtoto hivi hata Kodi ya CHUMBA usha Anza kujilipia kweli? Unalinganisha maisha ya mtu na mtu kisa mwalimu huyu ana gari basi walimu wote wawe na magari, Donald trump ni tajiri kuliko baadhi ya Marais waliopita naye utasemeje, kisa Ronaldo anamiliki ndege binafsi hivo kila mchezaji anaweza miliki ndege binafsi, kisa diamond anamiliki media hivo kila msaniianauwezo wa kumiliki media? Hio ndo iq kubwa ulionayo? Mbona fact uliotoa ni ya kitoto sana una umri Gani Binti au ulilala klabu asubuhi ume amkia kwenye Uzi ukiwa na hangover, Sito rudia kukujibi kama ndo ufikiri wako umeishia hapo unanichosha kwa heri na log out

Fullstop, kwishaaa
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Mwanaume mwingine anasemwa unaumia wewe hadi unakuja kumtetea, futa neno bro wewe ni auntie alex
 
Wewe pimbi sasa alikwenda kufanya nini tuambie alifuata nini kwa lissu
Huelewi nini nimekwambia hapo juu we vipi wewe, akili kisoda nini unanichosha au nawasiliana na chizi wa milembe,kumuelewesha chizi kujipa kazi

Fullstop, kwishaaa
 
We kinacho kuuma ni nini, mtoto wa kiume? Ume muuliza sababu ya yeye kitokisimama nini aka kujibi? Inshu za kuwa mnampiha picha bila ridhaa yake na kutunga stori, unaona ni sahihi? Hayo matrilioni yanayo ibiwa we una ushahidi? Umesha ripoti kituo cha polisi? Mahakama ipo usha fungua kesi? Mkuu siasa sio unavo ifikiria wewe. Kikwete ilsemekana ni miliki wa lake oil and gas company kipindi hicho je ilikua kweli? Msha MuOMBA radhi kwa kumchafua?

Fullstop, kwishaaa
Wewe umeshasoma report ya CAG? au hujui hiyo ni kitu gani? Tangu lini viongozi wa Africa wameshasema wao ni wamiliki wa mali zozote kwenye nchi zao? Hata kuandika Kiswahili hujui sijui akili yako uwezo wake wa kufikiri upoje? Kama unayo akili kidogo, basi IQ yako ni ndogo sana. Unasimamishwa na polisi halafu unakataa kutii sheria, kwanini usipigwe picha? Hivi wewe unajua maana ya privacy, kuna privacy act kwenye nchi hii lakini hayo aliyoyafanya hayastahili, wasamaria wema wanapaswa wampige picha na wapeleke kwetu sisi wananchi. Hivi wewe hiyo polisi na mahakama unayoongelea ni kama huelewi tuko miaka gani? Upeleke polisi, watafanya nini? tena utafunguliwa kesi kwa kumsumbua mtoto wa rais, upeleke mahakamani......Hii mahakama ambayo Hakimu au judge anapigiwa simu na mkubwa apindishe maamuzi ya haki? Hukusikia alichosema Rostam Aziz.....Kuwa mahakama zetu haziwezi kushughulika na mikataba ya kimataifa kwa sababu kiongozi anaweza kupiga simu na matokeo yakabadilishwa? Hivi wewe fala unatoka kijiji gani? CCM wamekulipa kiasi gani utetee upuuzi? Viongozi wa Africa siyo wakweli na wewe hata uwe kiongozi (Ingawa sidhani kama unaweza ukawa hata mjumbe wa nyumba 10) utakuwa na tabia hizo za kutosema ukweli. Akina Kikwete, Mwinyi, Samia na top echelons wana miradi na pesa nyingi ambazo zingeweza kuiondoa nchi yetu kwenye umaskini uliokithiri, Acha kuandika upumbavu.
 
Back
Top Bottom