Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Hahaha!! Et mama yeke alishika nyazifa mbalibali, nyazifa zipi hizo zilizonwezesha kumpa mshahara wa kimwezesha hyo kijana kununua gari la 1.2b Kama sio upigaji wa Kodi zetu. Kama ni ukwa mrefu angekuwa nao mzee wasira , Tangu kipindi cha Nyerere hadi leo yupo anapiga dolari lakini bado anatembelea Toyota pro box no. B.
 
Hayo unayoyaita maisha ni jumla ya vurugu unazoziona!..wapo wachawu na wema ndani ya Dunia moja na wote wanaishi.
 
Back
Top Bottom