Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Hahaha yaani unajidhihirisha ulivyo mweupe kichwani! Hahaha hadi huruma! Kubishana na jitu kubwa jinga kama wewe ni bure...chaa!
Nakusubiri ujibu nikupige nyundo ya mwisho ukalale kabisa, kinukaa puchi kagonjwa kaliko choka na kufubaa

Fullstop, kwishaaa
 
Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia.
Baada ya kukusoma nikawahurumia wazazi wako kwa kupoteza hela zao finyu kukupeleka hiyo 'private' unayodai mwenyewe walikupeleka.
Umewatia hasara kubwa na aibu wazazi wako.
Ninayo mengi sana ya kwaeleza vilaza wa aina yako, lakini ngoja nikuachie hilo moja tu kwa leo. Pengine kuna siku nitakayokutana nawe tena humu mtandaoni nikiwa na muda wa kupoteza na watu bwege wa aina yako. Siyo leo.
 
Kuna video iliwahi trend gari aina ya RR ikisimamishwa na polisi na kukaidi ikampita bila kusimama juzi ndio sasa imegundulika ni gari ya mtoto wa mama lazima watu washtuke yeye ni nani hadi anadharau chombo cha dola?
 
Attachments

  • Screenshot_20250827-091646.jpg
    Screenshot_20250827-091646.jpg
    453.1 KB · Views: 22
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Kwa hiyo kwa akili yako ilivyo nyuma unaamini kila mzazi angekuwa Rais au sio!maana ya uongozi na dhamana ya uongozi unaielewa?
 
Kuna video iliwahi trend gari aina ya RR ikisimamishwa na polisi na kukaidi ikampita bila kusimama juzi ndio sasa imegundulika ni gari ya mtoto wa mama lazima watu washtuke yeye ni nani hadi anadharau chombo cha dola?
Chombo cha dola chenyewe kimejidharaulisha wacha kidharauliwe tuu
 
Hahaha wewe unahaha, ukizidi nakuignore, sidhani kama nina la kujifunza kutoka kwako!
Sasa uni ignore kwa kosa Gani, we ndo umeanza matusi makali mi nikaliendeleza SAHIVI imekuwaje Tena, umepanic?

Fullstop, kwishaaa
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Kumbe huna akili??ukija kumuelewa mangekimambi utaokoka na kuacha ujiinga na upumbavu
 
Huyo kijana ana dharau sana, baada ya mama yake kuondoka jela zinawahusu bila chenga yoyote hta kama watakimbilia NAMO
 
Ushasema mchezaji wa zamani wa Yanga, kwani Yanga nayo timu....Washukuru tu sasa wanavyomilikiwa na CCM kupitia GSM. Ile timu ni njaa tupu na uchawi tu.
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Watu sio wajinga bwana! Mtoto wa magufuli na mtoto wa mkapa hatujawahi kusikia skendo zao tangu naaanza maisha ya kazi. Kuna mtu ashawahi kuniambia huwezi kujamba afu watu wasisikie watasikia tu ndo hayo… kwanini usingiziwe wewee? Kwanini sio watoto wa mkapa au watoto wa mwinyi ambaye kwa sasa ni raisi, au watoto wa magufuli? Watoto wa raisi waliokua na skendo hii nchi ni watoto wa kikwete na watoto wa samia why u? By the way watoto wa nyerere wengi sana hadi wajukuu wanafanyakazi balozi tofauti na wizara tofauti Tanzania, ila hutawahi kuwaona wala kusikia skendo zao. Infact hawajikwezi mpaka ushtuliwe oya yule mtoto wa raisi…Why you????????
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
So anaogopa mali yake aliyoipata kihalali hadi ahamie upande mwingine? Hujiulizi hilo?
 
One thing in your life, remember to live your own life, don’t interfere with other people’s lives. They will never touch you! Abdul is not the first First Son, there have been many, who cares if he doesn’t touch my ass?

You reap what you sow, nothing more!

Nani amuonee wivu, kuna billionea anakula biriani ya bei ya millioni moja? That platinum biriani? Haipo. Ulimbukeni tu.

Make your money and put your ass down.

Usiue, achie watu Uhuru wao nobody will touch you
 
Back
Top Bottom