Aminata B Ruhinda Ntare
JF-Expert Member
- Dec 9, 2024
- 243
- 1,180
Sioni sababu ya Ku-exposé mambo ya Kifamilia mtandaoni Kama mzee wako hakukupa kile unachohitaji sifikirii Kama itakuwa sahihi kulalamika kila siku.
Be positive kumuongelea baba in negative way haipendezi .
Abuses of power -- intimidation -- those are crimes.
Nikitaka hata kuandika kitabu na kutengeneza sinema naweza.
Vyote vilikuwa state-sponsored. Serikali inawajibika.
Chakula nilikula. Shule nimesoma. Kutokuangalia mtoto ni neglect, atajijua na Mungu wake, on top of that, constant surveillance = intimidation. Kuna vitu vingi sijasema na vyenyewe ni crimes na alilindwa na position yake kwenye chama na serikali.
Zaidi, yeye na genge lake walitumia position zao serikalini kumuonea mama yangu kwenye kazi na walimsingizia vitu (mpaka kujaribu kumfungulia kesi ya JINAI na alinyanganwyaga passport -- Ruhinda Ntare wenye historia ya zaidi ya miaka 600 nchini Tanzania ananyangnaywa passport kwasababu eti si Mtanzania lololol).
We can go on and on and on...