Aminata B Ruhinda Ntare
JF-Expert Member
- Dec 9, 2024
- 243
- 1,180
Kwa hiyo kila polepole anacho sema umeamini dada ake, umenisikitisha sana Yani nawe unashikwa masikio na polepole alafu ulivo huna aibu, umesikiliza kule unakuja kusimulia watu dah matatizo yako si madogo any way, kampuni la lake oil walisema ni la kikwete ndo miliki na jina lake limeandikwabadae ikaja julikana ni la ally awadh we badogo tu hujajifunza? Umenisikitisha sana
Fullstop, kwishaaaaa
Mimi huwanasubiri siku kijana wa CCM ajisahau na anipe fursa ya kuongea mengi.
Familia yangu ilikuwa harassed miaka nenda rudi na watu waliokuwa wanasema wao ni usalama wa taifa.
Magari yenye namba plate za serikali yametufuata kila mahali tangu nilivyokuwa mtoto na mmeacha baada ya post yangu ya kwanza JF December 2024. Halafu wanamtandao wakampata mtu ambaye nilifikiri ni rafiki yangu anidanganye baba yako anakulinda. It was pure intimidation and an abuse of power. Mtu halipi hela ya matumizi ya mtoto wala ada ya shule lakini anatuma watu wanilinde -- wanamtandao mliona mimi sina akili aiseee.
And there are more stories where that came from kuhusu mambo ya deni la Iran, contracts jeshini.
Na wanamtandao kama nilivyomwambiaga spy wenu mmoja hivi, I am sure aliwafikishia ujumbe, mkishika hata nywele mmoja kichwani mwangu, na ngoja niongezee au nywele hata mmoja ya mama yangu, mtakuwa mmefungua Pandora's Box.