Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Bro Alex utakuwa unagongwa siyo bure lazima we bro beki hazikabi
 
Mkuu kwa nn asiwe na amani wakat kachuma kwa jasho lake? Kwa nn ajifiche fiche
 
Aminata unaendeleaje?

Sijakuona hapa siku nyingi sana.

Nani huyo anatukana tenaa?

Niko salama, asante sana.

I hope na wewe uko vizuri kabisa.

Ile post ilinisaidia sana kutoa sumu mwilini, nimetulia kabisa. Nakukumbuka, asante sana tena kwa msaada wako.

Nilifuata ushauri wa watu, nimeweka pembeni hilo jina lingine, nimerudi kwa my proper ancestors, abachwezi watanilinda.

Hawa watoto wa CCM wanaolipwa allegedly kutetea chama chao ni wasumbufu sana.
 
Fedha zinazopatikana kwa access ya uongozi ni hatari kwa taifa.

Vyanzo vya fedha visivyoeleweka ni hatari kwa mataifa yote duniani na ni msingi wa watu kupigana vita.

Kuingilia nakuvunja sheria kwa kutumia nafasi ya uongozi uliokua nao au jamaa yako ni rushwa ,adui wa haki ,ufisadi na hatari kwa national sovereignity.

Nchi zote duniani kuna battle ya equitble distribution of national wealth ,sio wachache tu wajiwekee mrija

Brother hapa sio FB ,hizo comment zako peleka kule unakofanana nao
Unaniita bro wako alafu unanikosea heshima? Comments zinakukera kati ya Mimi na nyie nani alie Anza tukana matusi mwenzake mnataka mnitusi ninyamaze sio, mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu sio, unalazimisha kila mtu aamini unavo amini wwe sio? Basi we ni dikteta kwanini ulazimishe watu waaminikilichoko kwenye fikra zako alafu fb unapo pazarau viongozi wako Wana AC huko na wanatoa taarifa mkuu kuwa na heshima wewe huna uspesho wowte chokora tu ka Mimi

Fullstop, kwishaaaa
 
Niko salama, asante sana.

I hope na wewe uko vizuri kabisa.

Ile post ilinisaidia sana kutoa sumu mwilini, nimetulia kabisa. Nakukumbuka, asante sana tena kwa msaada wako.

Nilifuata ushauri wa watu, nimeweka pembeni hilo jina lingine, nimerudi kwa my proper ancestors, abachwezi watanilinda.

Hawa watoto wa CCM wanaolipwa allegedly kutetea chama chao ni wasumbufu sana.
Asante sana.

Na mimi napata amani na kufurahi sana kusikia imekuwa hivyo.

Hawa wasumbufu tunaweza ku deal nao bila kuwafanya watawale mawazo yetu. Their system is unsustainable. They are self sabotaging without knowing. It is only a matter of time before the cookie crumbles.
 
We ni mjinga kula hela kwa wakuu sio suala geni....kuishi na watoto wao si suala geni ila kelele zimekuja wanakula huku wanatuua huku wanatishia haki za kuishi
 
Asante sana.

Na mimi napata amani na kufurahi sana kusikia imekuwa hivyo.

Hawa wasumbufu tunaweza ku deal nao bila kuwafanya watawale mawazo yetu. Their system is unsustainable. They are self sabotaging without knowing. It is only a matter of time before the cookie crumbles.
Unachosema ni ukweli! Amen!
 
Na: Malisa GJ

Ndugu zangu waandishi, hivi mmesahau taaluma? Mbona hamuulizi “inquisitive questions” kuhusu suala la Mpina kuliwa kichwa? Ngoja niwasaidie notes kidogo. Iko hivi, Mpina ameenguliwa kwa mujibu wa kifungu cha 20(6) na (7) cha Kanuni za Maadili za mwaka 2025. Kanuni hizi zilitangazwa kupitia Tangazo la Serikali Na.86 la tarehe 14/2/2025.

Tume iliita vyama vya siasa kusaini kanuni hizo. Chadema tulikataa kusaini kwa sababu zilikuwa na mapungufu mengi. Na tukashauri vyama vingine vigome kusaini pia, mpaka pale kanuni hizo zitakapofanyiwa marekebisho kwanza (Na hiyo ndio maana ya No Reforms No Election). Lakini wazee wa “project” wakaenda kusaini kwa mbwembwe. Kusaini means walikubaliana na yote yaliyopo.

Sasa kanuni zilezile walizosaini ndiyo zimetumika kuwala vichwa. Sasa waandishi, kwa nini hamuulizi hili swali? Muulizeni Ado analia nini wakati alisaini kanuni mwenyewe? Chadema tuliposema kanuni zina mapungufu walitutukana na kusema tumekimbia uchaguzi. Leo yamewakuta, wanarudi kwa wananchi kulia. Ndiyo maana Boniyai amesema hawa watu wanapenda michezo ya “kubakwa”. Bata, Wahed.!
 
Aibu mwanaume kumdangia mwanaume mwenzio lol..!!
 
Tatizo siyo mali za urithi
Wengi tunaachiwa mali za urithi
Ila tumezifanyia nini 😄

Ova
Hukuachiwa mali uliachiwa vimali isee mali za urithi wanaachiwa kina riz moko na hao kina abdu..!
 
Lazima nizamie mademu pm sababu ni mwanaume niliekamilika

Fullstop, kwishaaaa
Best reply ever😍

Ila ni ngumu kuamin kuwa ule u pepsistic ni maigizo.

Once again,happy to know that you are straight dume la mbegu🙏✌️💪
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Wivu ni jambo moja na kukemea wizi ni jambo lingine.
Kama ambavyo kumwonea wivu huyu kijana haikubaliki, ndivyo hivyo pia kunyamazia mapato yasiyojulikana chanzo chake haikubaliki.
Tutakuwa tunajenga precedence mbaya sana kama tutaubomoa utamaduni wa kuhoji viongozi na watumishi wa umma wamepata wapi mali zao. Jambo hilo litakuwa ni hatua moja tu kuelekea kufuta sheria ya maadili ya viongozi.
Wivu na wizi vyote havikubaliki. Lakini kumsingizia kwa mambo ambayo hajafanya nayo pia haikubaliki.
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Watanzania wanejawa na wivu, chuki na nyege hakuna kingine.
Wanatamani wote waishi kimasikini na sifa hizi ndio zilimponza jiwe kafa kaacha watoto wanajitafuta sasa
 
Wewe hii nchi unaionaje deni unalionaje hizo hela zinajishenta au zinashentwa leo tukuone unagari Zuri unang,aa si ndo deni la taifa linashentwa *** u laughing without company
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Mbona kabla ya mama yake kuwa raisi alikuwa hajulikani na alikuwa haendeshi magari ya kifahari?so waache wafu waseme rasilimali za nchi ya Tanzania zinaibiwa na wanzibari.watanzania tumekuwa wajinga sana.mali zetu zinaibiwa halafu sisi wenye nchi yetu tunaangalia na kushabikia ujinga.tutakuja kulia huko mbeleni endeleeni na ushabiki wenu ndio maana wakenya wanatuona Mabwege.
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Sidhani kama mtoto wa Bakhresa anaweza kufanyiwa hivi, shida ni how do you treat people? Usitegemee uwe mtoto wa rais then watu wakuchukulie as normal!! Changamoto kama hizo zipo tu, hata angekuwa na IST watu wangemnanga
 
Back
Top Bottom