Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Nani anahitaji ustar wakati nina elimu sweetheart ?

Kujulikana Tanzania ina faida gani ?
Ndo nakushangaa wewe serikali iache kufanya mambo yake ikuwekee wewe usalama wa taifa wakuwinde hizi ni zaidi ya stress labda uliiba bwana wa mtu dada ake

Fullstop, kwishaaaa
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Who sent you?
 
Mnanicheka na nani sasa? Au mnacheka pekee enu,? Wapelekee taarifa wambie bro alex ni mtambo wenye MASHINE ya kusaga na kukoboa, sinaga kuonjesha ukijaaa unajazwa

Fullstop, kwishaaa

You are illustrating my point exactly!

Majibu ya hovyo, hauna adabu, hauna heshima, upo upo tu maskini.

Pole sana!
 
Kwani nyerere aliwezaje kuitenga familia yake na Uraisi wake?
Unazungimzia zama ambazo hata smart phone haikuwepo mkuu alafu Yule ni Nyerere mkuu huyu ni mwingine acha pangia watu maisha. Maskini bhana kila kitu hasiraa tu

Fullstop, kwishaaa
 
Ndo nakushangaa wewe serikali iache kufanya mambo yake ikuwekee wewe usalama wa taifa wakuwinde hizi ni zaidi ya stress labda uliiba bwana wa mtu dada ake

Fullstop, kwishaaaa

LOLOLOLOL kwa hiyo mtoto wa primary aliiba bwana wa mtu ? Every comment of yours continuously makes less sense.

Mimi ni nani ? Sisi ni nani ? Kaulize maboss wako.

Yani we kijana ungejua ulivyonifurahisha leo -- huko Masaki itabidi mkalishwe mkutano -- mfundishwe Online Etiquette 101 ilimuache kuaibisha chama.
 
Sasa unaomba msamaha au unaendeleza vita?

Mbona hata wewe mwenyewe hujielewi?

Masaki kuna maji siku hizi?
Mkuu mbona anani kosea heshima nmeomba msamaha kwako si KWAKE mana anani tusi mi nifanyeje eti natumwa na ccm. Huo si uchokozi mkuu

Fullstop, kwishaaa
 
LOLOLOLOL kwa hiyo mtoto wa primary aliiba bwana wa mtu ? Every comment of yours continuously makes less sense.

Mimi ni nani ? Sisi ni nani ? Kauliza maboss wako.

Yani we kijana ungejua ulivyonifurahisha leo -- huko Masaki itabidi mkalishwe mkutano -- mfundishwe Online Etiquette 101 ilimuache kuabisha chama.
Ahaaaa kumbe we ni mtoto wa primary sio basi Sito kujibi Tena

Fullstop, kwishaaa
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Hata wewe UMEWAFATILIA watu wanaofatilia watu. Waache watu wafuatilie watu wanaofatilia watu, wewe vipi??????
 
Hata Mo Dewji hua wanamsema kua ni mali za urithi,
Badala watumie muda wao kusaka hela ili na wao watoto wao waje kurithi mali zao kama Mo alivyorithi kutoka kwa wazazi wake,wao wako busy kusema wengine!

Masikini wengi hutaka watu wote waishi kama wanavyoishi wao,ukiwa na uwezo tu,utapewa tuhuma zote,

Ila kama hiyo ndio njia yao ya kujifariji kwao,basi waachwe tu wafarijike,ila muda hua haurudi nyuma.
Ndio nyie vijana wa Masaki? Kazi mnayo. Sasa anawalipa kiasi gani? Nyie anawalipa hela mbuzi halafu mwenzenu anakwapua billions of money! Na mtawezaje kupambana na watu wengi hivi mitandao yote? Wanaume wazima hovyo!
 
Toa UTI yako kafie mbele uko

Fullstop, kwishaaaa
 
Ndio nyie vijana wa Masaki? Kazi mnayo. Sasa anawalipa kiasi gani? Nyie anawalipa hela mbuzi halafu mwenzenu anakwapua billions of money! Na mtawezaje kupambana na watu wengi hivi mitandao yote? Wanaume wazima hovyo!
Acha kukariri maisha wewe punguani,JamiiForums ni International forums,
Kama una akili,mpaka hapo utakua umenielewa nimemaanisha nini,

Tafuta hela,usiniletee makasiriko yako mimi,
Halafu comment yangu wala haikua based on political issues,nimecomment kuhusu maisha kiujumla,ndio maana nikamtolea mfano Mo Dewji,

Unapo quote comment yangu njoo na lugha ya staha ili usije ukajuta na kuiona JF chungu kwako.
 
Back
Top Bottom